Kaka zetu leo nawapeni ukweli

Kaka zetu leo nawapeni ukweli

Tumegongana Mara kadhaa kwenye mwendokasi tena kwa bahati tukakaa seat moja kila siku, akili yako ikajisolve uombe namba kwa huyo binti, siku uliyoomba namba usiku wake mkachart ukimtaka mkutane kwenye lounge moja wapo, binti bila hiana kakubali.

Siku ilipowadia mkakutana full enjoi hapohapo handsome ukamtongoza binti mpaka machozi, binti amekubali. Mkarejea home.

Ikumbukwe binti mwenyewe misimamo akikukubalia siku hiyo hiyo uliyomtongoza na akikujibu 'OK' hiyo huwa haimaanishi. Anataka akuchunguze kwanza.

Kidume unarudi home na furaha, usiku wake hapohapo unaanza kumtext ghafla na KOSA kubwa ambalo nimewaita mlijue ni ukateleza na kumwambia " lini utakuja kwangu" ukiunganisha na maneno ya "mwenzio inadinda sana".

Kwakuwa binti alisema " OK " ila hakumaanisha nia ni kukuchunguza kwanza hapohapo kama alikuwa kakupanga kwenye list ya uwe mume wa ndoa Kweli atapangua na kukufanya mchunwaji.

Ndio utasikia dem nimemtongoza Jana leo kaomba pesa, kaka zangu ni nyie tu mnajitengeneza hiyo hali, Hakuna mwanamke asiye na akili utongoze asubuhi usiku uombe namna ya kupata game badala ya namna ya kujenga uhusiano wenu.

NB: Unavomchukulia mwanamke aliekuomba hela baada ya kumtongoza tu ndivyo na wanawake wanavyo wafikiria kuomba game baada ya kumtongoza.
Kwahiyo ikidinda akamwambie dada yake au?

Ukute unaeyasema haya huna bikra hata moja.

Kufanya mapenzi hakuzuii ndoto za mwanaume kuoa. Ni wewe tu utakavyoyahandle mahusiano yenu na akili ya kujua kumcomtrol mwanaume wako.

Kama unatabia ya kuomba hela, kuambiwa kufanya mapenzi sio kisingizio. Maana bado una uhiari wa kukataa kama unaona hakufai
 
Mbona umekuwa mkali?,,,

We pambania maisha yako ila usilielie kuhusu wanawake.
 
Kila cku nawaambia Vijana ukimtongoza mwanamke kaa hata mwezi na nusu ndo umwambie mambo ya Kusex jaya mambo ya wanawake wanapenda sana hela tunajisababishia wenyewe hawanielewi watapigika
 
Kila cku nawaambia Vijana ukimtongoza mwanamke kaa hata mwezi na nusu ndo umwambie mambo ya Kusex jaya mambo ya wanawake wanapenda sana hela tunajisababishia wenyewe hawanielewi watapigika
Bora umeliona wewe
 
Tuseme ukweli Madem hawapendagi kugongwa mwanzon wa mahusiano au ni pride kujifanya wanajua kuchunguza.. kama umeshasema OK maswala ya kuchunguza yanatoka wapi
 
Hupaswi kumwambia...inataki um-surprise aje kushtukia tu ashapigwa pumbu...yaani hapo ndo wanakuwaga wajinga...akituma sms usipojibu anakuwa mnyonge...mademu huwa na nyodo pale ambapo hawajagongwa...akishaliwa tu kwisha janja yake
Hahaa atashtukaje tayari kashapigwa pumbu bila kumwambia!? Maana lazima kuwe na process so atajua tu sio kwamba ameshtuka tu kaliwa otherwise labda ubake
 
Haya mambo yapo very tricky, hakuna jibu la moja kwa moja hapa coz kila mtu ana mtazamo wake on how to handle a new friendship. Unaweza kuwa gentle kwa mwanamke, yeye akatafsiri tofauti, likewise unaweza kuwa na papara, ikatafsiriwa tofauti. Nenda na bits unazodhani zitakupa positive outcome, ila usipende kumdhalilisha mwanamke kwa namna yoyote unayotaka kum-approach.
 
Tuseme ukweli Madem hawapendagi kugongwa mwanzon wa mahusiano au ni pride kujifanya wanajua kuchunguza.. kama umeshasema OK maswala ya kuchunguza yanatoka wapi
Mnaumiaga nini?
 
Haya mambo yapo very tricky, hakuna jibu la moja kwa moja hapa coz kila mtu ana mtazamo wake on how to handle a new friendship. Unaweza kuwa gentle kwa mwanamke, yeye akatafsiri tofauti, likewise unaweza kuwa na papara, ikatafsiriwa tofauti. Nenda na bits unazodhani zitakupa positive outcome, ila usipende kumdhalilisha mwanamke kwa namna yoyote unayotaka kum-approach.
Asante
 
Mapenz nayo ni kupoteza Muda, utajenga na Mahusiano na wanawake wangap.

Jamaa ukute anajenga mahusiano na msichana mwingine huyo ni wa kugonga na kupita.

Inabid muelewe tu, tuchunwe na tuwagonge.

Yaishe kihivyo.

Maana hatuwez jenga mahusiano na kila mtu
 
Back
Top Bottom