Kaka zetu leo nawapeni ukweli

Kaka zetu leo nawapeni ukweli

Tumegongana Mara kadhaa kwenye mwendokasi tena kwa bahati tukakaa seat moja kila siku,,, akili yako ikajisolve uombe namba kwa huyo binti,
Siku uliyoomba namba usiku wake mkachart ukimtaka mkutane kwenye lounge moja wapo, binti bila hiana kakubali.

Siku ilipowadia mkakutana full enjoi hapohapo handsome ukamtongoza binti mpaka machozi, binti amekubali. Mkarejea hom.

Ikumbukwe binti mwenyew misimamo akikukubalia siku hiyo hiyo uliyo mtongoza na akikujibu 'OK' hiyo huwa haimaanishi. Anataka akuchunguze kwanza.

Kidume unarudi hom na furaha, usiku wake hapohapo unaanza kumtext ghafla na KOSA kubwa ambalo nimewaita mlijue ni ukatereza na kumwambia " lini utakuja kwangu" ukiunganisha na maneno ya "mwenzio inadinda sana".

Kwakuwa binti alisema " OK " ila hakumaanisha nia ni kukuchunguza kwanza hapohapo kama alikuwa kakupanga kwenye list ya uwe mume wa ndoa Kweli atapangua na kukufanya mchunwaji,,,..

Ndio utasikia dem nimemtongoza Jana leo kaomba pesa, kaka zangu ni nyie tu mnajitengeneza hiyo hali,,,. Hakuna mwanamke asiye na akili utongoze asubuhi usiku uombe namna ya kupata game badala ya namna ya kujenga uhusiano wenu.

NB: unavomchukulia mwanamke aliekuomba hela baada ya kumtongoza tu ndivo na wanawake wanavo wafikiria kuomba game baada ya kumtongoza.
Kama mlikutana kwenye mwendo kasi na mapenzi yenu yanaenda hivyohivyo ki mwendo kasi...😂😂
Mamaeeeeee 😂 😂 ayeeeeeeee 😂 😂 kmmk
Mkuu unakifurushi cha mijitusi..😂
 
Huko kujiongeza ndio mnajiibuliaga wachunaji,,,,

Dada akitoa namba hajui kesho yake huenda akapatwa na tatizo na wewe alikupotezea kukupa no upo karibu atahitaji msaada itakuwaje?

Siku zote nawaheshimu watu ambao nipo nao mda mwingi au tunaopishana Mara kwa Mara njiani, kujifanya jeuri kuna siku utapata tabu ukaona haya.
Hivi kwa mfano mimi nikikuomba namba na ukanipa, unafikiri nini kinafata au unatarajia nini toka kwangu, wakati hatuna hatuna kinacho tuunganisha katika nasaba wala kikazi ?

Halafu nikikuelezea hisia zangu unanipangia cha kukwambia ?

Huko kutokujua itakuwaje ni uzembe wenu, lazima pia ujue kabla ya kukutana na mimi shida zako zilikuwa hazitatuliwi au ? Shida yenu akili zenu zimekaa kihuruma na kujipa kazi ambazo si zenu.

Lakini pia mnasahau ya kuwa unaweza kuongeza mtu akawa mzigo kwako hili huwa hamlioni ?
 
Hii inaonesha ni jinsi gani vijana wengi wanavyokosa weledii kwenye mapenz na kinachotokea ni piga piga tu km mpira wa yangaa...

Watu wengi huamin wanapokutana na uhusiano mwingi wa mara kwa mara yaani leo upo na demu huyu kesho huyu ndiyo kujua mapenzi, wakati kumbe ndiyo wanafeli hata itakapofikia wanakua ktk ndoa hushindw kumudu ndoa zao kw sbb hawakua ktk misingii iliyo boraa....

Vijana wengii wapo tayar kupotez gharama yyte kwa ajili ya ku escape challenges ambzo huwaface wawapo ktk mahusiano au jambo fulan ieleweke kua hakuna jambo rahis na pia hakuna jambo linalokosa changamoto kwhyo utatakiw ujipange uwe na uwezo wa kukabiliana na changamot ndipo uwez kusonga mbele....

Vijana wengii wanajianda kuingia ktk ndoa kwa kujifany wanayajua san mapenz kwmba watawez kumudu ndoa zao lkn ukwel n kwamba hawana maandaliz yyte waliowengi wanajua kuingia chumvin,kupampu km mashine ya kusaga kumpa mwanamk hela yyte anayotak na kadhalik huwafany kujiona wakamilfu lkn huo si ukwel....

Ndoa inachangamoto nyingi san wakat mwingi unatakiw kutumia akil nying san na kua na maamuzi ya busara ambyo yatakua na positive impact kw kila mmoja wakat wa mahusiano sasa km ulkua mzee wa playboy au kujiita baharia je utawez kua na mamb yot hayo ambyo nimeyataja hapo juu....

Ni bora kujifany mjinga ukawa na mahusiano yanayoelewek ukatumia km fursa kujifunza na kukubaliana na mapunguf ya mwenzko na kujifunz maamuz ya busara kuliko kua na mahusiano mengii wakat hakuna unalojifunzaa mwishoe ndiyo unaoa unakutana na changamoto inakua kila siku talaka na kupena preshaaa.....

Mim nawasihi vijna wenzang fikra ni bora kuliko kujitia uanaume ambao sio uanaume....mwanaum n kipimo cha utu,majukumu,malezi,na mapenzi mwanaum wa kwelii humtengenez mke wake vile anavyotaka yey na sio anavyotaka mtu mwingne kutoka nje busara ktk kilaa changamoto ndiyo vitu vya msingii ambvyo sisi huitak maamuz ya kiume.....
 
Kulikuwa na haja gani ya kuitaja yanga kwenye comment yako? Watu wengine bwana!
 
Umeamua uje unitangaze umu kumbe we dem kicheche na ela ulio omba y
Sikupi na naenda kuanzisha na mm uzi wa tabia yako mbaya yakuomba mpaka hela ya viwembe vya kunyolea nyele za chin
 
Back
Top Bottom