Tumegongana Mara kadhaa kwenye mwendokasi tena kwa bahati tukakaa seat moja kila siku,,, akili yako ikajisolve uombe namba kwa huyo binti,
Naunga Mkono Hojamimi demu akishaniomba hela muda mfupi tokea nmemtongoza hapo hapo nampiga chini(hela akamuombe babaake)
Tumegongana Mara kadhaa kwenye mwendokasi tena kwa bahati tukakaa seat moja kila siku,,, akili yako ikajisolve uombe namba kwa huyo binti,
Siku uliyoomba namba usiku wake mkachart ukimtaka mkutane kwenye lounge moja wapo, binti bila hiana kakubali.
Siku ilipowadia mkakutana full enjoi hapohapo handsome ukamtongoza binti mpaka machozi, binti amekubali. Mkarejea hom.
Ikumbukwe binti mwenyew misimamo akikukubalia siku hiyo hiyo uliyo mtongoza na akikujibu 'OK' hiyo huwa haimaanishi. Anataka akuchunguze kwanza.
Kidume unarudi hom na furaha, usiku wake hapohapo unaanza kumtext ghafla na KOSA kubwa ambalo nimewaita mlijue ni ukatereza na kumwambia " lini utakuja kwangu" ukiunganisha na maneno ya "mwenzio inadinda sana".
Kwakuwa binti alisema " OK " ila hakumaanisha nia ni kukuchunguza kwanza hapohapo kama alikuwa kakupanga kwenye list ya uwe mume wa ndoa Kweli atapangua na kukufanya mchunwaji,,,..
Ndio utasikia dem nimemtongoza Jana leo kaomba pesa, kaka zangu ni nyie tu mnajitengeneza hiyo hali,,,. Hakuna mwanamke asiye na akili utongoze asubuhi usiku uombe namna ya kupata game badala ya namna ya kujenga uhusiano wenu.
NB: unavomchukulia mwanamke aliekuomba hela baada ya kumtongoza tu ndivo na wanawake wanavo wafikiria kuomba game baada ya kumtongoza.
Kupewa number Sio kukubaliwa.Sisi wengine hasa mimi, ukinipa namba najua ndiyo ushanikubalia hivyo, kwahiyo kupangiana cha kuongea au hatua, hilo ni kosa la kiufundi huwa mnalifanya.
Cha msingi msiwe mnatupa tu namba zenu.
Inatakiwa ukae siku ngapi...ndo uombwe hela?Kulingana na katiba inatakiwa ukae siku ngapi ndipo umwambie "mwenzio inadinda sana"?
Hadi nionje....Inatakiwa ukae siku ngapi...ndo uombwe hela?
Tumegongana Mara kadhaa kwenye mwendokasi tena kwa bahati tukakaa seat moja kila siku,,, akili yako ikajisolve uombe namba kwa huyo binti,
Siku uliyoomba namba usiku wake mkachart ukimtaka mkutane kwenye lounge moja wapo, binti bila hiana kakubali.
Siku ilipowadia mkakutana full enjoi hapohapo handsome ukamtongoza binti mpaka machozi, binti amekubali. Mkarejea hom.
Ikumbukwe binti mwenyew misimamo akikukubalia siku hiyo hiyo uliyo mtongoza na akikujibu 'OK' hiyo huwa haimaanishi. Anataka akuchunguze kwanza.
Kidume unarudi hom na furaha, usiku wake hapohapo unaanza kumtext ghafla na KOSA kubwa ambalo nimewaita mlijue ni ukatereza na kumwambia " lini utakuja kwangu" ukiunganisha na maneno ya "mwenzio inadinda sana".
Kwakuwa binti alisema " OK " ila hakumaanisha nia ni kukuchunguza kwanza hapohapo kama alikuwa kakupanga kwenye list ya uwe mume wa ndoa Kweli atapangua na kukufanya mchunwaji,,,..
Ndio utasikia dem nimemtongoza Jana leo kaomba pesa, kaka zangu ni nyie tu mnajitengeneza hiyo hali,,,. Hakuna mwanamke asiye na akili utongoze asubuhi usiku uombe namna ya kupata game badala ya namna ya kujenga uhusiano wenu.
NB: unavomchukulia mwanamke aliekuomba hela baada ya kumtongoza tu ndivo na wanawake wanavo wafikiria kuomba game baada ya kumtongoza.
ShughuliHadi nionje....
Haya mawazo huwajia mara nyingi watu wasio na HELA...ukiwa na hela huwezi kuwaza namna hii...TUTAFUTE HELA...mimi demu akishaniomba hela muda mfupi tokea nmemtongoza hapo hapo nampiga chini(hela akamuombe babaake)
Kumbe mkuu Kuna wakati unakuwa normal unaongea point!!!?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mimi wote wanao nipa namba huwa wameshanikubali kabisa. Sasa unajua mimi siyo kaka yako, sina nasaba na wewe, tumekutana kwenyw usafiri wa umma, nakuomba namba unafikiri kuna biashara nataka tufanye au nikupe mawaidha ? Mimi naliunga tu utajua mwenyewe mbele ya safari kama kusuka au kunyoa.Kupewa number Sio kukubaliwa.
Hupaswi kumwambia...inataki um-surprise aje kushtukia tu ashapigwa pumbu...yaani hapo ndo wanakuwaga wajinga...akituma sms usipojibu anakuwa mnyonge...mademu huwa na nyodo pale ambapo hawajagongwa...akishaliwa tu kwisha janja yakeKulingana na katiba inatakiwa ukae siku ngapi ndipo umwambie "mwenzio inadinda sana"?
Hahaha baharia ame over speed 😂 😂 😂Baharia amekua na haraka mno
Kmmk 😂 😂mimi demu akishaniomba hela muda mfupi tokea nmemtongoza hapo hapo nampiga chini(hela akamuombe babaake)
Mamaeeeeee 😂 😂 ayeeeeeeee 😂 😂 kmmkKama mlikutana kwenye mwendo kasi na mapenzi yenu yanaenda hivyohivyo ki mwendo kasi...😂😂