Kaka zetu leo nawapeni ukweli

Kaka zetu leo nawapeni ukweli

Tumegongana Mara kadhaa kwenye mwendokasi tena kwa bahati tukakaa seat moja kila siku, akili yako ikajisolve uombe namba kwa huyo binti, siku uliyoomba namba usiku wake mkachart ukimtaka mkutane kwenye lounge moja wapo, binti bila hiana kakubali.

Siku ilipowadia mkakutana full enjoi hapohapo handsome ukamtongoza binti mpaka machozi, binti amekubali. Mkarejea home.

Ikumbukwe binti mwenyewe misimamo akikukubalia siku hiyo hiyo uliyomtongoza na akikujibu 'OK' hiyo huwa haimaanishi. Anataka akuchunguze kwanza.

Kidume unarudi home na furaha, usiku wake hapohapo unaanza kumtext ghafla na KOSA kubwa ambalo nimewaita mlijue ni ukateleza na kumwambia " lini utakuja kwangu" ukiunganisha na maneno ya "mwenzio inadinda sana".

Kwakuwa binti alisema " OK " ila hakumaanisha nia ni kukuchunguza kwanza hapohapo kama alikuwa kakupanga kwenye list ya uwe mume wa ndoa Kweli atapangua na kukufanya mchunwaji.

Ndio utasikia dem nimemtongoza Jana leo kaomba pesa, kaka zangu ni nyie tu mnajitengeneza hiyo hali, Hakuna mwanamke asiye na akili utongoze asubuhi usiku uombe namna ya kupata game badala ya namna ya kujenga uhusiano wenu.

NB: Unavomchukulia mwanamke aliekuomba hela baada ya kumtongoza tu ndivyo na wanawake wanavyo wafikiria kuomba game baada ya kumtongoza.
asante kwa mtazamo wako

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Hii inaonesha ni jinsi gani vijana wengi wanavyokosa weledii kwenye mapenz na kinachotokea ni piga piga tu km mpira wa yangaa...

Watu wengi huamin wanapokutana na uhusiano mwingi wa mara kwa mara yaani leo upo na demu huyu kesho huyu ndiyo kujua mapenzi, wakati kumbe ndiyo wanafeli hata itakapofikia wanakua ktk ndoa hushindw kumudu ndoa zao kw sbb hawakua ktk misingii iliyo boraa....

Vijana wengii wapo tayar kupotez gharama yyte kwa ajili ya ku escape challenges ambzo huwaface wawapo ktk mahusiano au jambo fulan ieleweke kua hakuna jambo rahis na pia hakuna jambo linalokosa changamoto kwhyo utatakiw ujipange uwe na uwezo wa kukabiliana na changamot ndipo uwez kusonga mbele....

Vijana wengii wanajianda kuingia ktk ndoa kwa kujifany wanayajua san mapenz kwmba watawez kumudu ndoa zao lkn ukwel n kwamba hawana maandaliz yyte waliowengi wanajua kuingia chumvin,kupampu km mashine ya kusaga kumpa mwanamk hela yyte anayotak na kadhalik huwafany kujiona wakamilfu lkn huo si ukwel....

Ndoa inachangamoto nyingi san wakat mwingi unatakiw kutumia akil nying san na kua na maamuzi ya busara ambyo yatakua na positive impact kw kila mmoja wakat wa mahusiano sasa km ulkua mzee wa playboy au kujiita baharia je utawez kua na mamb yot hayo ambyo nimeyataja hapo juu....

Ni bora kujifany mjinga ukawa na mahusiano yanayoelewek ukatumia km fursa kujifunza na kukubaliana na mapunguf ya mwenzko na kujifunz maamuz ya busara kuliko kua na mahusiano mengii wakat hakuna unalojifunzaa mwishoe ndiyo unaoa unakutana na changamoto inakua kila siku talaka na kupena preshaaa.....

Mim nawasihi vijna wenzang fikra ni bora kuliko kujitia uanaume ambao sio uanaume....mwanaum n kipimo cha utu,majukumu,malezi,na mapenzi mwanaum wa kwelii humtengenez mke wake vile anavyotaka yey na sio anavyotaka mtu mwingne kutoka nje busara ktk kilaa changamoto ndiyo vitu vya msingii ambvyo sisi huitak maamuz ya kiume.....
Siku pingi kaka asa unakuta unataka kupona. Na manzi mmoja lakin mizinga anayo kupiga ata familia yako ikijua itataka kuingilia Kati na usipo jiongeza umkatae una pigwa mapigo ya jack chan drunk style bana kma Dem anaomba Sana ela tena ela ambayo iko juu ya matumizi yako piga chin mzee mwenzangu ayanaga ushindi mapenzi Niwewe tuu utulize nyex zako zkipanda tafuta mnaelewana mwaya wazungu mpe mi das pita iv
 
Tumegongana Mara kadhaa kwenye mwendokasi tena kwa bahati tukakaa seat moja kila siku, akili yako ikajisolve uombe namba kwa huyo binti, siku uliyoomba namba usiku wake mkachart ukimtaka mkutane kwenye lounge moja wapo, binti bila hiana kakubali.

Siku ilipowadia mkakutana full enjoi hapohapo handsome ukamtongoza binti mpaka machozi, binti amekubali. Mkarejea home.

Ikumbukwe binti mwenyewe misimamo akikukubalia siku hiyo hiyo uliyomtongoza na akikujibu 'OK' hiyo huwa haimaanishi. Anataka akuchunguze kwanza.

Kidume unarudi home na furaha, usiku wake hapohapo unaanza kumtext ghafla na KOSA kubwa ambalo nimewaita mlijue ni ukateleza na kumwambia " lini utakuja kwangu" ukiunganisha na maneno ya "mwenzio inadinda sana".

Kwakuwa binti alisema " OK " ila hakumaanisha nia ni kukuchunguza kwanza hapohapo kama alikuwa kakupanga kwenye list ya uwe mume wa ndoa Kweli atapangua na kukufanya mchunwaji.

Ndio utasikia dem nimemtongoza Jana leo kaomba pesa, kaka zangu ni nyie tu mnajitengeneza hiyo hali, Hakuna mwanamke asiye na akili utongoze asubuhi usiku uombe namna ya kupata game badala ya namna ya kujenga uhusiano wenu.

NB: Unavomchukulia mwanamke aliekuomba hela baada ya kumtongoza tu ndivyo na wanawake wanavyo wafikiria kuomba game baada ya kumtongoza.
Dada... Mwanaume achunguzwi. Nausijidanganye kumchunguza. Make mtu kama anania ya kufanya atakacho atafanya. Kikubwa mapenzi ni maamuzi tu basi. Pia mapenzi ni hisia. Kusex ni hisia na wakati mwingine uja bila kupanga. Na hasa mnapokuwa faragha. Mtajikuta tayari. Labda mdada uwe umekatwa kile kitu huna hisia. Ndo utabaki na huo uchunguzi wako.
 
Kulikuwa na haja gani ya kuitaja yanga kwenye comment yako? Watu wengine bwana!
Huyo ni utelembwe anataka akipata demu akae nae Mwaka mzima bila kumuonja,sisi tunasema hiviiii ukitoa namba ikishindikana siku hiyo basi ndani ya siku tatu uwe tayari ushamla.
 
Tumegongana Mara kadhaa kwenye mwendokasi tena kwa bahati tukakaa seat moja kila siku, akili yako ikajisolve uombe namba kwa huyo binti, siku uliyoomba namba usiku wake mkachart ukimtaka mkutane kwenye lounge moja wapo, binti bila hiana kakubali.

Siku ilipowadia mkakutana full enjoi hapohapo handsome ukamtongoza binti mpaka machozi, binti amekubali. Mkarejea home.

Ikumbukwe binti mwenyewe misimamo akikukubalia siku hiyo hiyo uliyomtongoza na akikujibu 'OK' hiyo huwa haimaanishi. Anataka akuchunguze kwanza.

Kidume unarudi home na furaha, usiku wake hapohapo unaanza kumtext ghafla na KOSA kubwa ambalo nimewaita mlijue ni ukateleza na kumwambia " lini utakuja kwangu" ukiunganisha na maneno ya "mwenzio inadinda sana".

Kwakuwa binti alisema " OK " ila hakumaanisha nia ni kukuchunguza kwanza hapohapo kama alikuwa kakupanga kwenye list ya uwe mume wa ndoa Kweli atapangua na kukufanya mchunwaji.

Ndio utasikia dem nimemtongoza Jana leo kaomba pesa, kaka zangu ni nyie tu mnajitengeneza hiyo hali, Hakuna mwanamke asiye na akili utongoze asubuhi usiku uombe namna ya kupata game badala ya namna ya kujenga uhusiano wenu.

NB: Unavomchukulia mwanamke aliekuomba hela baada ya kumtongoza tu ndivyo na wanawake wanavyo wafikiria kuomba game baada ya kumtongoza.
Kwendraaaaa
 
Jaribu uwaelewe,,, shida mnakuwa na wengi kwahiyo ule muda wa kumchunguza na kumjua vizuri huyo mmoja huku kuna michepuko inakukeep busy unajikuta unafanya mambo rasharasha.
Ukimchunguza sana bata hutamla
 
Wanawake wanatuonaga sisi ndio wenye uhitaji sana wa hilo swala. Ila kutongoza leo kesho kuomba game mara nyingi ni unakuwa umemdharau muhusika.
Hakuna,tena inatakiwa siku hiyo hiyo aliekupa namba ukaze upige mzigo
 
huyu baharia atakua mwaka wa Kwanza chuo Cha ubaharia.
Wale wenye PhD zao mbinu ni za kimkakati kiasi kwamba mzigo unaliwa siku hiyo hiyo na misimamo yako unabaki kujishangaa asubuhi
Huyo alimuanzishia mapenzi ya Tamthilia ndio maana kaharibu
 
Wahuni wana amini kula kimsihara sana siku hizi

Ukiona baharia ameomb mgegedo mara tu baada ya kukubaliwa mtongozo ujue anataka apige na kusepa,,, so wewe ukiwaza awe mme wa ndoa unakuaa unamkosea sana....

so kama utapiga mzinga its Ok,, ila kumbuka nyapu inachakaa ila hela itatafutwa... So zitazoumia ni sehemu za siri.
 
Tumegongana Mara kadhaa kwenye mwendokasi tena kwa bahati tukakaa seat moja kila siku, akili yako ikajisolve uombe namba kwa huyo binti, siku uliyoomba namba usiku wake mkachart ukimtaka mkutane kwenye lounge moja wapo, binti bila hiana kakubali.

Siku ilipowadia mkakutana full enjoi hapohapo handsome ukamtongoza binti mpaka machozi, binti amekubali. Mkarejea home.

Ikumbukwe binti mwenyewe misimamo akikukubalia siku hiyo hiyo uliyomtongoza na akikujibu 'OK' hiyo huwa haimaanishi. Anataka akuchunguze kwanza.

Kidume unarudi home na furaha, usiku wake hapohapo unaanza kumtext ghafla na KOSA kubwa ambalo nimewaita mlijue ni ukateleza na kumwambia " lini utakuja kwangu" ukiunganisha na maneno ya "mwenzio inadinda sana".

Kwakuwa binti alisema " OK " ila hakumaanisha nia ni kukuchunguza kwanza hapohapo kama alikuwa kakupanga kwenye list ya uwe mume wa ndoa Kweli atapangua na kukufanya mchunwaji.

Ndio utasikia dem nimemtongoza Jana leo kaomba pesa, kaka zangu ni nyie tu mnajitengeneza hiyo hali, Hakuna mwanamke asiye na akili utongoze asubuhi usiku uombe namna ya kupata game badala ya namna ya kujenga uhusiano wenu.

NB: Unavomchukulia mwanamke aliekuomba hela baada ya kumtongoza tu ndivyo na wanawake wanavyo wafikiria kuomba game baada ya kumtongoza.
Naona umechanganya mambo! Wanaume kutongoza ni jadi yetu. Siyo kila anaye tongozwa uwe na mipango naye ya kuoana. Au siyo kila anatongozwa anakuwa hana mume. Ukweli ni kwamba yeyote aliye nivutia natongoza. Yeye ndio mwenye jukumu kuwa easy going au avute subira aonekane amelelewa.
 
NB: Unavomchukulia mwanamke aliekuomba hela baada ya kumtongoza tu ndivyo na wanawake wanavyo wafikiria kuomba game baada ya kumtongoza.

Hapo ngoma Drooo!! Aliyeuza cheni ya bandia na yeye kapewa hela bandia.
 
Back
Top Bottom