Kaka zetu leo nawapeni ukweli

Kaka zetu leo nawapeni ukweli

wanawake kwa kweli hawaeleweki kabisa, Ukisema usifanye pupa ndio wengine hukuona boya. Kwa kweli hawaeleweki kabisa.
Jaribu uwaelewe,,, shida mnakuwa na wengi kwahiyo ule muda wa kumchunguza na kumjua vizuri huyo mmoja huku kuna michepuko inakukeep busy unajikuta unafanya mambo rasharasha.
 
Jaribu uwaelewe,,, shida mnakuwa na wengi kwahiyo ule muda wa kumchunguza na kumjua vizuri huyo mmoja huku kuna michepuko inakukeep busy unajikuta unafanya mambo rasharasha.
Wwe kwani Mpelelezi hadi unachunguza hivyo,Nini hasa unachotaka kufind out!?
 
Jaribu uwaelewe,,, shida mnakuwa na wengi kwahiyo ule muda wa kumchunguza na kumjua vizuri huyo mmoja huku kuna michepuko inakukeep busy unajikuta unafanya mambo rasharasha.

Nawinda nikiwa na njaa tayari, demu wa kula tu nachunguza ili nigundue nini?

Wakati huo huo mnatuambia tukimchunguza bata hatutamla!
 
Wanawake wanatuonaga sisi ndio wenye uhitaji sana wa hilo swala. Ila kutongoza leo kesho kuomba game mara nyingi ni unakuwa umemdharau muhusika.
 
wanawake kwa kweli hawaeleweki kabisa, Ukisema usifanye pupa ndio wengine hukuona boya. Kwa kweli hawaeleweki kabisa.
Hahahahaaaa,mkuu unikumbusha kuna kaka yangu alimtongoza demu akakubaliwa.Akaona ajifanye mstaarabu asiombe mzigo mapema ila demu akiwa na shida anamtatulia.Baadae akiomba mzigo demu haishiwi sababu lakini kaka akiwa vijiweni anasikia tu wahuni wanajipigia tu, yeye akiomba sababu kibao.
Siku moja kaka ikabidi adamke alfajiri kwenda kudai hela alizokuwa akiombwa
 
Kuna siku mtoto nikamuomba mawasiliano yake bana, mtoto mzuri shidah tkro lipo mahal pake inshot anafaa kuuzia sura popote hata ukienda nae Amsterdam,
Nikafika home nikampigia simu mida ya wakubwa ile alafu nilikua nishagonga ma alcohol,

Huwa nikila alcohol naongea sana sana,tukapiga story sanaaa kana kwamba tunajua hapo kabla, tuliongea zaid ya masaa 2,
Kiukweli nia yangu haikua kumtongoza hata basi tu uharibifu

Nikawa namsifia tu she is cute and expensive looking,bana nilikua namsifia alafu naact very hummble kwake,kila asubuh nilikua lazima nimpigie maana alikua anafanya kazi somewhere,

Sijamtongoza wala kumuambia fyoko ,siku zikaenda ikapita week nipo zangu sina hili wala lile nikaona sms G nikwambie kitu

Nikaona mmh hapa kizinga hichi walai,na alivyo hapa hakipungui chini ya laki, ila nikajisemea sijamtongoza awezi omba pesa, nikashusha pumzi nambie

"G nakupenda" nikasema kimoyomoyo mmh sikumjibu nikamrukia hewani,

Tukaongeaaa wala sikugusia ile sms, akagusia yeye akanambia kumbe tangu first time alinimind pia, alifurahi sikua na haraka maana alidai wengi anaowapa namba wanamtongoza siku iyo iyo so anawakatalia ,

Safari ikaanziaa pale nikitwist ile hali ya kutomtafuta anakasirika sana,akikuta inatumika pia anamind, sa nikitaka kuongea na vimwana wengine naanza kwanza kumpigia nambebishaaa then akilala narukia wengine

Maana lazima alale mapema saa nne tu,

Pisi kali nazo huwa zinakwama kwa gentleman ukiwa na papara nazo unaishia kuchunwa tu
 
Nina tatizo la kumtoa kasoro kila demu nikimchunguza sana, napenda kuwinda na kula hapo hapo.

One Night Stand ~Ibraah ft Harmonize
 
Wanawake wanatuonaga sisi ndio wenye uhitaji sana wa hilo swala. Ila kutongoza leo kesho kuomba game mara nyingi ni unakuwa umemdharau muhusika.
Hakuna siku nzuri na muhimu kuliko zote kama 'LEO'
WAHENGA wakakazia linalowezekana LEO lisingoje kesho
 
Sasa ni kosa mtu kusema kuwa inaninda ,au unadhani anakuwa anakuongopea ? Kama unabisha si uende uthibitishe!

Yaan hako ndo kapoint kako sio!?
 
Tumegongana Mara kadhaa kwenye mwendokasi tena kwa bahati tukakaa seat moja kila siku, akili yako ikajisolve uombe namba kwa huyo binti, siku uliyoomba namba usiku wake mkachart ukimtaka mkutane kwenye lounge moja wapo, binti bila hiana kakubali.

Siku ilipowadia mkakutana full enjoi hapohapo handsome ukamtongoza binti mpaka machozi, binti amekubali. Mkarejea home.

Ikumbukwe binti mwenyewe misimamo akikukubalia siku hiyo hiyo uliyomtongoza na akikujibu 'OK' hiyo huwa haimaanishi. Anataka akuchunguze kwanza.

Kidume unarudi home na furaha, usiku wake hapohapo unaanza kumtext ghafla na KOSA kubwa ambalo nimewaita mlijue ni ukateleza na kumwambia " lini utakuja kwangu" ukiunganisha na maneno ya "mwenzio inadinda sana".

Kwakuwa binti alisema " OK " ila hakumaanisha nia ni kukuchunguza kwanza hapohapo kama alikuwa kakupanga kwenye list ya uwe mume wa ndoa Kweli atapangua na kukufanya mchunwaji.

Ndio utasikia dem nimemtongoza Jana leo kaomba pesa, kaka zangu ni nyie tu mnajitengeneza hiyo hali, Hakuna mwanamke asiye na akili utongoze asubuhi usiku uombe namna ya kupata game badala ya namna ya kujenga uhusiano wenu.

NB: Unavomchukulia mwanamke aliekuomba hela baada ya kumtongoza tu ndivyo na wanawake wanavyo wafikiria kuomba game baada ya kumtongoza.
Unajua ku bet wewe?
 
Back
Top Bottom