Umeongea point sana mkuu.Hii inaonesha ni jinsi gani vijana wengi wanavyokosa weledii kwenye mapenz na kinachotokea ni piga piga tu km mpira wa yangaa...
Watu wengi huamin wanapokutana na uhusiano mwingi wa mara kwa mara yaani leo upo na demu huyu kesho huyu ndiyo kujua mapenzi, wakati kumbe ndiyo wanafeli hata itakapofikia wanakua ktk ndoa hushindw kumudu ndoa zao kw sbb hawakua ktk misingii iliyo boraa....
Vijana wengii wapo tayar kupotez gharama yyte kwa ajili ya ku escape challenges ambzo huwaface wawapo ktk mahusiano au jambo fulan ieleweke kua hakuna jambo rahis na pia hakuna jambo linalokosa changamoto kwhyo utatakiw ujipange uwe na uwezo wa kukabiliana na changamot ndipo uwez kusonga mbele....
Vijana wengii wanajianda kuingia ktk ndoa kwa kujifany wanayajua san mapenz kwmba watawez kumudu ndoa zao lkn ukwel n kwamba hawana maandaliz yyte waliowengi wanajua kuingia chumvin,kupampu km mashine ya kusaga kumpa mwanamk hela yyte anayotak na kadhalik huwafany kujiona wakamilfu lkn huo si ukwel....
Ndoa inachangamoto nyingi san wakat mwingi unatakiw kutumia akil nying san na kua na maamuzi ya busara ambyo yatakua na positive impact kw kila mmoja wakat wa mahusiano sasa km ulkua mzee wa playboy au kujiita baharia je utawez kua na mamb yot hayo ambyo nimeyataja hapo juu....
Ni bora kujifany mjinga ukawa na mahusiano yanayoelewek ukatumia km fursa kujifunza na kukubaliana na mapunguf ya mwenzko na kujifunz maamuz ya busara kuliko kua na mahusiano mengii wakat hakuna unalojifunzaa mwishoe ndiyo unaoa unakutana na changamoto inakua kila siku talaka na kupena preshaaa.....
Mim nawasihi vijna wenzang fikra ni bora kuliko kujitia uanaume ambao sio uanaume....mwanaum n kipimo cha utu,majukumu,malezi,na mapenzi mwanaum wa kwelii humtengenez mke wake vile anavyotaka yey na sio anavyotaka mtu mwingne kutoka nje busara ktk kilaa changamoto ndiyo vitu vya msingii ambvyo sisi huitak maamuz ya kiume.....
Ukiwa wa hivo ukaishi na nyani porini.... Yaani unaombwa no we akili inase moja kwa moja nijiandae na game. Mbona mawazo ya kingono hivo.Hivi kwa mfano mimi nikikuomba namba na ukanipa, unafikiri nini kinafata au unatarajia nini toka kwangu, wakati hatuna hatuna kinacho tuunganisha katika nasaba wala kikazi ?
Halafu nikikuelezea hisia zangu unanipangia cha kukwambia ?
Huko kutokujua itakuwaje ni uzembe wenu, lazima pia ujue kabla ya kukutana na mimi shida zako zilikuwa hazitatuliwi au ? Shida yenu akili zenu zimekaa kihuruma na kujipa kazi ambazo si zenu.
Lakini pia mnasahau ya kuwa unaweza kuongeza mtu akawa mzigo kwako hili huwa hamlioni ?
Sawa.Ukiwa wa hivo ukaishi na nyani porini.... Yaani unaombwa no we akili inase moja kwa moja nijiandae na game. Mbona mawazo ya kingono hivo.
SureHupaswi kumwambia...inataki um-surprise aje kushtukia tu ashapigwa pumbu...yaani hapo ndo wanakuwaga wajinga...akituma sms usipojibu anakuwa mnyonge...mademu huwa na nyodo pale ambapo hawajagongwa...akishaliwa tu kwisha janja yake
Tutafanya ivyo me too.At list 1week na hapo katikati ya hizo siku ujikite kuongea mambo mengine kabisaaa hasa mipango yako kwake.
Pole Sana mkuu. Nina abundance ya kutosha, Nina akiba ya kutosha (cash) na ninazalisha za kutosha...umeelewa??Watu wa namna yako huwaga hamjabarikiwa hela ila jeuri.
Hela ni ngumu tatizo, hamna mtu asiye na hela mzee ila tu vipaumbele vinatofautiana. Wewe kama huna familia huwezi elewa kwanini watu wanakwepa mizinga isio na maana. Ikiwa kila demu utakaemtaka unampa hela utawapa hela wangapi?Haya mawazo huwajia mara nyingi watu wasio na HELA...ukiwa na hela huwezi kuwaza namna hii...TUTAFUTE HELA...
Anakuchukulia kama DangaTutafanya ivyo me too.
Ila kuna ile unapewa namba una.tumia SMS ya kwangu iyo. Anasema sawa afu anakuomba umsaidie vocha.
Yaani hapo hapo on spot nafuta namba yake.
Mie niko tofauti....Lazma nipate dhamana ya kukupa hela. Siwezi kukuita mpenzi ilihali sijakumwagia manii yangu. Lazma uwe na protini zangu kwenye mfumo wako wa kizazi.Watu wa namna yako huwaga hamjabarikiwa hela ila jeuri.
Na wale wanaoomba hela bila kuombwa game sababu ni nini??NB: unavomchukulia mwanamke aliekuomba hela baada ya kumtongoza tu ndivo na wanawake wanavo wafikiria kuomba game baada ya kumtongoza.
Baharia amekua na haraka mno