Kaka yangu anatembea na mama mkwe wangu

Kaka yangu anatembea na mama mkwe wangu

Hilo nalo neno excell......ila sio mbaya....umri unaruhusu...kat yao....acha wakumbushe enzi wale vyaoo
 
waache tu wajivimjari bhana ni watu wazima sasa.
 
Hiyo ndo shida ya wakwe kwenda kukaa kwa watoto.... acha kaka ajifaidie maana kama angekaa kijijini angekua na busara ndio faida ya kutaka vya mjini
 
Naishi dar, brother wangu mkubwa ambaye ni mstaafu kaja kufuatilia madai yake. Nyumbani kwangu anaishi pia mama wa mke wangu.
Juzi nlipotoka kwenye mizunguko na kurudi nyumbani mida ya saa tano asubuhi niliwakuta live wakilimega tunda.

Kwa kweli kaka yangu ni mtu mzima ambaye kwa umri kamzidi hata mkwe wangu. Lakini hii siielewi, matokeo yake nimejikuta mi ndo naona aibu hata kuwaangalia.

Kwa hiyo unahitaji ushauri gani hapa? Au umeleta JF kwa taarifa tu.
 
ila hapo hali ya hewa imechafuka... we kausha tu jifanye hujui. MAMBO YA AIIIIIIBU
 
Inawezekana mkwe wako nae yupo kimtegomtego sana hadi bro akaamua kutegua. Kwa mantiki hii hata ww pia ungejaribu tu kwake ungepiga. Anyway, ni kitendo cha aibu hata kama bro wako ana umri mkubwa. Wote wawili hawajiheshimu na ikiwezekana fukuza waondoke hapo nyumbani ili waende mbali wakafaidi huo unzinzi wao.Watakuletea mkosi hadi kwa watoto kama unao.
 
Ng'ombe hawazeekagi maini acha wakumbashane zilipendwa wakati huo ugonjwa unaogopwa kaswende na dawa yke ilikuwa vidonge vya rangi mbili.
 
acha wivu dogo acha broda ajilie,haramu kwako halali kwake,kwani mkweo mke wa mtu?
 
basi we anza kumuta mama mkwe shemeji na kaka yako baba mkwe...............
 
Tatizo lako nini hapo?
Inamaana hujui upweke nao unasumbua-ga? Mama kapata mtu mzima mwenzie,Mbona poa.
Tunza siri tu.
 
kesi Hipo,
kwa sababu huyo Kakake sasa atakuwa ni Babamkwe wake, na Watoto wa Kakake sasa watakuwa mashemeji zake, Na Mkewe anamwita huyo kaka ya Mmewe kuwa ni Babayake na watoto wa wa huyo shemeji yake watakuwa wadogo zake
Kaaaaaazi kwelikweli

Duuu mkorogano haswaaa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom