Kaka unapooa mrembo kubaliana na haya

Kaka unapooa mrembo kubaliana na haya

My dear solution ni kuweka dada wa kazi wawili,hata we ukitoka mizunguko ukute nyumba iko Sawa,vinginevoo wanaume wa kiafrika mi siwezi mtegemea kwny shughul za nyumbani
Siku housegirl awakimbie hajisogezi hata. Hata kama alishinda home siku nzima, utarudi home kutoa vyombo vya chai mezani. Hapana aisee
 
Hahaha, kusema ukweli hata mimi najikutaga tu nafanya kazi ambazo huwa sizipendi kwasababu tu ya mazoea. Ambacho sitaki ni siku sijisikii kufanya halafu uanze kunisemasema. I'll do house chores when I want not because it's my responsibility
Nikienda kwa ndugu inabidi tu nifanye sababu watu hawatakuelewa...
Kupika nako kunahitaji mood nzuri kitu kitoke vizuri sio kila siku kukimbizana kuja kumpikia mtoto wa mwanamke mwenzio wakati tumeshinda wote kazini...
Ila kuna wanaume wamelelewa vizuri sio mfumo dume,he would do everything willingly unless nitake kumsaidia,too bad tuliachana for other reasons,wanaume kama hao wa kibongo wapo japo wachache...ntahamisha majeshi sasa nijitafutie mzungu though am into black skin...
 
Hahaha karibu tuongeze majeshi. Si unataka mtoto wewe Utatoa Bonge la mulatto

Kweli kupika kunahitaji mood jamani. Na Hata mwanamke akipikiwa hufurahi.

Yani hiyo ya kurudi nyumbani kupika ni shida. Utagongana na masufuria yako peke yako. Wenye watoto ndo huruma . Kila nikikumbukaga nilienda kwa mtu nikakuta kapika Wali na supu ya 'nyama haijaungwa nacheka. No fruit no mboga. I was wondering is this a thing or was the poor mother just tired..

Wanaume wa kibongo waelewa watakuwa wachache. Sijawahi ona. But still you have to deal with his family and friends Watakuwa wanamsema "utashikaje mwiko wakati umeoa". Hopefully they can deal with the pressure.
 
Ah wanaume wa kibongo wachache mnoo,mi sijawaona kwa kweli mana mshua wangu hagusagi kituu hahaha,mi ntapanga wadada wa kazi mwanzo mwishooo,exceptions siku dada akisepa hapo hamna namnaa
 
Hahahaa wali na supu nimeimagine nimecheka sana,maskini mama kajipikia kutimiza wajibu apike mboga tatu kwa mda gani huo wakati usiku bado anachakula kingine cha kupika maskini wanawake viumbe wa ajabu kwakweli hongera kwa wake za watu.. Jamii tu inayozunguka haiwezi kuelewa mme akipika utaskia kawekewa limbwata..
Teh jeshi la wake za wazungu,I should start responding to their flirts sasa....more questions ntakufata PM najua unakiexperience
 
Na bado hapo hujahudumia chumbani, hehehhe
 
Jamaa yangu Leo tumetoka job ucku mida ya saa moja, tukapitia kwake kuna mzigo akanipe. Tupo njian mkewe kampigia kamwambia arudi na msoc hajapika. Jamaa akaanza kulalamika kuwa kaoa mwanamke mvivu. Mkewe anatoka kazini saa nane mchana. Tumemkuta mkewe anacheki movie. Jamani msiooa msikosee kuoa.
 
Mhhh nna mashaka km aliacha hela ya matumizi
 
mm binafsi nasemaga kabsa biashara za kuniona utegemee ntafua jeans zako sahau..kwanza mikono yng inachubuka nikifua, pili kaz kusaidiana manzeee, tatu toka nizaliwe sijawai ona mama anamfulia baba, nne cyo mrembo lakn n mvivu hahahaaha.
 
Hahaha hao ni wale wanawake mnaaoa mmekutana club...
Mpk unaoa ulikua hujui km hajui kazi...kabla hujaoa msome..mlete ghetto uone anachofanya..
By the way wako warembo ambao kazi zooteee tunajua..km unabisha njoo umuulize mme wangu....lol
Ila mrembo ww hii id yako imetisha.
 
Vijana wenzangu unapoamua kuoa mrembo, msomi na binti wa digital, lazima ukubaliane na haya;

1. Wasichana wengi sasa hawajui kupika. Wanajifanya wamechoka nitanunua msosi sana tu, tena usipokaza hata chai ataenda kununua.

2. Usishangae nguo zako kutofuliwa wiki mbili, anaweza kumuita mdogo ake anamlipa afue. Yeye anachart sio na wewe ujue ni shotizooo.

3. Kupiga deki sahau kijana mwenzangu. Aanze tu kupinda mgongo. Kama unataka usafi wa nyumba yako tafuta housegirl.

4. Jua kuwa utawahi wewe kuamka, yeye bado kalala. Amechoka kazi za ofisini za jana yake.

5. Bajet ya saloon iwepo ya kila wiki nywele na kucha.
Mi nakutimua.
 
Kuna wadada wavivu mi najionaga mvivu lakini wale wamezidi,Ni bora wanunue chakula kuliko kupika na jiko Ni la gesi,akitoka kazini ye Ni simu Tu,hata kudeki ndani Ni marufuku,

Smartphones na social media zimeleta majanga makubwa sana kwenye maisha ya wanawake wengi.
 
Siku housegirl awakimbie hajisogezi hata. Hata kama alishinda home siku nzima, utarudi home kutoa vyombo vya chai mezani. Hapana aisee
Nikienda kwa ndugu inabidi tu nifanye sababu watu hawatakuelewa...
Kupika nako kunahitaji mood nzuri kitu kitoke vizuri sio kila siku kukimbizana kuja kumpikia mtoto wa mwanamke mwenzio wakati tumeshinda wote kazini...
Ila kuna wanaume wamelelewa vizuri sio mfumo dume,he would do everything willingly unless nitake kumsaidia,too bad tuliachana for other reasons,wanaume kama hao wa kibongo wapo japo wachache...ntahamisha majeshi sasa nijitafutie mzungu though am into black skin...
Hahaha karibu tuongeze majeshi. Si unataka mtoto wewe Utatoa Bonge la mulatto

Kweli kupika kunahitaji mood jamani. Na Hata mwanamke akipikiwa hufurahi.

Yani hiyo ya kurudi nyumbani kupika ni shida. Utagongana na masufuria yako peke yako. Wenye watoto ndo huruma . Kila nikikumbukaga nilienda kwa mtu nikakuta kapika Wali na supu ya 'nyama haijaungwa nacheka. No fruit no mboga. I was wondering is this a thing or was the poor mother just tired..

Wanaume wa kibongo waelewa watakuwa wachache. Sijawahi ona. But still you have to deal with his family and friends Watakuwa wanamsema "utashikaje mwiko wakati umeoa". Hopefully they can deal with the pressure.
Ah wanaume wa kibongo wachache mnoo,mi sijawaona kwa kweli mana mshua wangu hagusagi kituu hahaha,mi ntapanga wadada wa kazi mwanzo mwishooo,exceptions siku dada akisepa hapo hamna namnaa

Nyie jazaneni ujinga tu.......
 
Siyo swala la kazi zote za ndani mkuu ishu ni kwamba uwe na mke ambaye ni msafi wa asili siyo kubumba owa wewe mwenye kucha za kubandika, kope za kubandika, Wigi au aliyefuga kucha alafu uwe na mtoto mdogo ndani utamkumbuka mtoa mada.

Pampers kule, baby wipes kule, minguo ya mtoto kule, mikojo kila mahali.

Ni tabu sana, hasa km Unapenda usafiri
 
Sasa huyo ni MKE au mfanyakazi wa nyumbani?Mambo ya MKEO ndiyo awe anapika na kufua ni MAMBO ya zanani sana mkuu!Mke ni mshauri wangu mkuu pia ni mtu wangu wa karibu kimwili na kiroho!

Mke wangu kupika ni weekennds tu tukiwa home tena anapika chakula chetu tu!Tuache haya mambo kugeuza mke kama mfanyakazi!!Chakula cha watu wote hapa kwangu wapo wanaopika sio WIFE

Uko sawa lakini sio hawa wanawake wa kibongo hawa wanawake wana maruhani atakuona bushoke
 
Back
Top Bottom