Kaka unapooa mrembo kubaliana na haya

Hii ndo inasababisha hawa ma don touch wasiolewe,wanapenda kuwa na wanamme bomba but hawapendi majukumu ya ndoa na familia.wanaona kama mzigo vile.ndo maana pamoja na uzuri wao wananakia kuwa michepuko na single mothers.tena wanaongoza kuzaa na waume za watu(siyo wote ila asilimia kumi)
Hapo umemaliza mkuu.
 
Mabinti jitahidini maana wanaume tunapenda sna chakula kinachopikwa na wake zetu, akili kumkichwa badilika.
 
Back
Top Bottom