badiebey
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 5,875
- 3,117
Hahaha mbna umepanic mkuuu,mzima btw?Nyie jazaneni ujinga tu.......
Afu jeee umeoa?
Hahaha mbna umepanic mkuuu,mzima btw?Nyie jazaneni ujinga tu.......
.....simplistic.......Puny comment
comment ya inaonesha nimepaniki! mi mzima.Hahaha mbna umepanic mkuuu,mzima btw?
Afu jeee umeoa?
Mkuu yani hz kazi za nyumbani Acha tu, ni easily manageable kama unashinda home,ila kama una kazi mwanamke utachora chiniicomment ya inaonesha nimepaniki! mi mzima.
Bado sijaoa, we umeolewa?Mkuu yani hz kazi za nyumbani Acha tu, ni easily manageable kama unashinda home,ila kama una kazi mwanamke utachora chinii
Afu umeoa?
Mi nmesema kupanga dada wa kazi kulighten domestic Labour,hapo ishu iko wapy,mfano mkeo utapenda afanye kazi zooote?i was very selective kuchagua posts zenu nilizo quote.......
Bado,Bado sijaoa, we umeolewa?
Usisahau kutupa mrejesho mkuuKijijini bado kunanifaa kwenda kuchukua mke.
Inategemea.....hawezi kufanya kazi zote, haiwezekani.Mi nmesema kupanga dada wa kazi kulighten domestic Labour,hapo ishu iko wapy,mfano mkeo utapenda afanye kazi zooote?
unasubiri nini?Bado,
Usisahau kutupa mrejesho mkuu
Uproposeunasubiri nini?
Sasa km hawezi fanya zote hzo zingine atafanya naniInategemea.....hawezi kufanya kazi zote, haiwezekani.
Inategemea mnaishije na mnaishi na nani.Sasa km hawezi fanya zote hzo zingine atafanya nani
im too old school for uUpropose
Wat does that even meanim too old school for u
i'm backwardWat does that even mean
Endelea kusubiri ndoa,mm binafsi nasemaga kabsa biashara za kuniona utegemee ntafua jeans zako sahau..kwanza mikono yng inachubuka nikifua, pili kaz kusaidiana manzeee, tatu toka nizaliwe sijawai ona mama anamfulia baba, nne cyo mrembo lakn n mvivu hahahaaha.