Kaka unapooa mrembo kubaliana na haya

Kaka unapooa mrembo kubaliana na haya

Hahaha hao ni wale wanawake mnaaoa mmekutana club...
Mpk unaoa ulikua hujui km hajui kazi...kabla hujaoa msome..mlete ghetto uone anachofanya..
By the way wako warembo ambao kazi zooteee tunajua..km unabisha njoo umuulize mme wangu....lol
umeolewa lini?
 
Kosa letu wanaume tunafuata hisia zaidi kuliko akili ktk kupata mke. Kosa la pili, kumpeleka mtarajiwa kwa mama zetu, kama kipimo cha kufanyakazi ni wazi atajitahd kufanyakazi. Chezea ukweni wewe wakati ndoa anataka.

Mkuu utawezaje kumuoa mwanamke ambaye hata huna hisia naye si ndo mtakerana ndani na badaye utaanza kwenda kwa waganga kutafuta dawa za kuongezea nguvu za kiume ,mi hapa kwa upande wangu siwezi kabisa kumchukua demu wa kufanya naye mapenzi kama sina hisia naye na hata kama nikimchukua siwezi piga bao zaidi ya moja maana sina hisia yoyote kwake atazidi tu kunikera au kukerana kwa kutomfikisha kileleni anapotaka yeye,,
So watch out ila sijui kwako..
 
Mwanamke wa hivo hadi unamuoa unamjua vizuri au unakuwa umemdownload ukaweka ndani?
 
Ukiona kuoa ni mzigo, endelea na selfie konda hachagui daladala.
 
Kuosha mavyombo,kufua,sijui kudekideki,,sijuimausafi gani vile aaaaah sio insue sana kwa mrembo wangu yann aote sugu za mikono bure,,mtoto mlain,,sura nzuri,,kishepu flan hiv amazing yaan nikimwona tu ndushe inasimama huyo ndio nae mtaka mm,,ajifunze zaid maujuz ya kitandani
Pesa ipo yann kumdekisha mrembo wangu,,atafanya mazoez ya kujenga fige sio manyama uzembe yaan mm nangalia uzuri tuuu mengine tutarekibishana
 
Kizazi kinacho anzia miaka ya 80 mwishoni nikizazi kisicho jierewa sio mwanaume wala mwanamke wote ni pasua
 
nyuso za mbuzi ndio habari ya mujini kwa sasa,ukijichanganya imekula kwako
Vijana wenzangu unapoamua kuoa mrembo, msomi na binti wa digital, lazima ukubaliane na haya;

1. Wasichana wengi sasa hawajui kupika. Wanajifanya wamechoka nitanunua msosi sana tu, tena usipokaza hata chai ataenda kununua.

2. Usishangae nguo zako kutofuliwa wiki mbili, anaweza kumuita mdogo ake anamlipa afue. Yeye anachart sio na wewe ujue ni shotizooo.

3. Kupiga deki sahau kijana mwenzangu. Aanze tu kupinda mgongo. Kama unataka usafi wa nyumba yako tafuta housegirl.

4. Jua kuwa utawahi wewe kuamka, yeye bado kalala. Amechoka kazi za ofisini za jana yake.

5. Bajet ya saloon iwepo ya kila wiki nywele na kucha.
 
ni kweli mie nilikuaga nae wa dizaini hiyo yaan ni shida muda wote anafikiria mtoko tuu ili mkale hukohuko na akija geto ye yupo active kwenye kazi ya kitandani tuu ikabidi tuu nimpige chini na kuoa mwanamke anaejitambua
 
Hahaha hao ni wale wanawake mnaaoa mmekutana club...
Mpk unaoa ulikua hujui km hajui kazi...kabla hujaoa msome..mlete ghetto uone anachofanya..
By the way wako warembo ambao kazi zooteee tunajua..km unabisha njoo umuulize mme wangu....lol
Kweli wewe kitofa
 
Hivi unaoa mfanyakaaaziii au mke?

By z way pia nyie mbona mizigooo hata kuhudumia familia na tunavumilia hatulalamiki? Fanyeni utafiti zaidi ya 80% ya familia sasa wanawake ndio wanazitunza wanaume wakoo tuuu kama mapambo.

Wkt mwngne kaolewa anayeyajua yote na thamani yake haionekani kila siku yeye kulizwaa kukacrishwa.

Wengine wameishia kujitumaaaa na ndoa hakuna kaolewa mwinginee mwenye mikuchaa hiyooo kama zimwiii cjui hata chupi afuaje muda woote mek up haimkaukiii na mume haoni mzigo kama wa yule aliyekuwa busy kuhakikisha kila kitu ndani anafanya yeye ila utaambiwa alikuwa anivutii maana saa ngapi angejijaza magibsam podaaa na kuwa kama mdoli!

Acheni majunguu mmeyataka wenyewe unafk wa nini sasa?
 
Usitutishe bana mie naona mwaka huu mke wangu mtarajiwa ni mrembo msomi na she is very very good at cooking yani ni noma ananijali nguo zangu kama kawaida safi
 
Kuna wadada wavivu mi najionaga mvivu lakini wale wamezidi,Ni bora wanunue chakula kuliko kupika na jiko Ni la gesi,akitoka kazini ye Ni simu Tu,hata kudeki ndani Ni marufuku,
 
Asa kama umeoa shankupe la mjini unategemea nin mkuu?
 
Hizo kazi ni lazima hazina exception ila na urembo usipuuzie hii sehemu. Na huwezi kuwa mrembo bila hizo sifa ulizotaja
 
Sasa huyo ni MKE au mfanyakazi wa nyumbani?Mambo ya MKEO ndiyo awe anapika na kufua ni MAMBO ya zanani sana mkuu!Mke ni mshauri wangu mkuu pia ni mtu wangu wa karibu kimwili na kiroho!

Mke wangu kupika ni weekends tu tukiwa home tena anapika chakula chetu tu!Tuache haya mambo kugeuza mke kama mfanyakazi!!Chakula cha watu wote hapa kwangu wapo wanaopika sio WIFE
 
Mkuu utawezaje kumuoa mwanamke ambaye hata huna hisia naye si ndo mtakerana ndani na badaye utaanza kwenda kwa waganga kutafuta dawa za kuongezea nguvu za kiume ,mi hapa kwa upande wangu siwezi kabisa kumchukua demu wa kufanya naye mapenzi kama sina hisia naye na hata kama nikimchukua siwezi piga bao zaidi ya moja maana sina hisia yoyote kwake atazidi tu kunikera au kukerana kwa kutomfikisha kileleni anapotaka yeye,,
So watch out ila sijui kwako..
Naposema hisia zaidi yaan hata kushindwa kuona dosari zake. Kama tukiamua kufuata vigezo vya mke bora kwa mkazo bila kujidanganya kwa kuvifumbia macho baadhi, tutawagundua hawa wavivu.
 
Back
Top Bottom