Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,914
Mke wa mtu huyu ati
Kwani vipi mkuu?
Mke wa mtu huyu ati
Mtumishi................!!!!!!!!:msela:
Kwani kunaubaya mimi kumuhitaji kondoo wangu aje ibadani?
asubiri nini???? ..........halalisha!!!
Kwi kwi kwi!!!!!!!
wala hamna ubaya baba Paroko, hembu na mimi nipatie ratiba ya ibada ni lini na lini na saa ngapi?
ili nianze kuhudhuria
Kuna ibada ya wawili tu yaani mimi na wewe na kuna ya wengi
Wewe ulikuwa unahitaji ipi?
Nadhani hii ya wawili ni nzuri si kuna maombi ya deliverence?
Ya deliverence yapo pia
Unachotakiwa ni kuni PM ratiba yako ili nikupangie siku ya kuja
Sawa?
Eiyer , huyu Angelicious naomba umfanyie ile maombi ya kutumbukiza makitu ili apone kabisa.
Si utampeleka chumba special?
Usijali
Nimempa maelekezo yote!
Sembe ina raha yake....yan kununua Air Malaysia ni kitu cha sembe kilo 100 tu
okoka na uzaliwe mara ya pili.