hao jamaa naona wanakutaka kabisa 🙂
hao jamaa naona wanakutaka kabisa 🙂
hebu nioneee huruma kidogo......
hao jamaa naona wanakutaka kabisa 🙂
lols. Kazi ipo.
poa kaka, kumbe nimekupiga gepu?
kuna uzi tena umewekewa sticky unakutaja wewe kama leader wa rep..
hahahaa..ingiza kwenye google translate ikusaidie! tafsriii:smile-big:
Niko poa sana shem.. vipi baby wako mzima?
Please kuanzia leo uwe unamsemea.
Ukimuona kakatiza mitaa yangu mshtue memsap wake fasta.