Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 53,246
- 50,468
asa si uongee na wewe kiutu uzima?hahaha acha kuvunga!
tupange basi deal kubwa tuweze ku meet
asa si uongee na wewe kiutu uzima?hahaha acha kuvunga!
Mtabaku kuabika na kufuatilua mali za watu .. wenyewe wakifabya maendelei .
Sweetheart, unakuja au?
Lady d keshasema she is fed up.
vipi tena dada wamekufanzani?
Usikonde mya dada ........much as sasa najua basi atakuja kilio cha samaki hapa huyu Karucee
<s><u>b><i>r><i>----------<k><w><a><n><z><a>.
actuary hiri rijamaa ni ritajiri mpaka sasa, na ukipanda hayo mabasi na ukajitamburisha mwana jf huripi nauri.
cc:: kiwatengu Arushaone Lady doctor
asubiri nini???? ..........halalisha!!!
Haaaa Lady doctor morning ...umekuwa kuwadi wa Karucee jamani....
Haaaaa nilikuwa sijaisoma from right to left
hapana mie sio kuwadi..... Yaani najitahidi tu kunusuru ka ndoa kangu
Haa iyo ni beyond repair ujue😀😀
hahaha....... sa mi nifanyeje? Au nimmwagie tindikali?