Kaka kaka... Unatishaaa!!!! Umevuta ngapi Hizoo?

Kaka kaka... Unatishaaa!!!! Umevuta ngapi Hizoo?

Just say the total amount
Yes... I am fed up.... Nimekuachia ila sio bure itabidi unilipe gharama zote nilizo mtunza huyu mwanaume.

hamna. Nampenda kweli hivyo. Ila mwanao anajitahidi kweli kusambaratisha ndoa zangu.
wizi mtupu!
Lol!
Kaizer? No way. Jaribu mwingine nitakuachiaA1. Eiyer hajashindwa chochote.
we ni shoga angu tatizo we mwizi.... Yaani unaniibia hata mimi? Nimejitahidi kukusukumiza kwa Kaizer lakini wapi umekomaa na Arushaone... Eiyer nae sijui kashindwa nini kukuchukua au wanaogopa hizo zana ulizobeba?

hahahahaha. Ungejua?
haiwezekani hakyanani vilee.... Labda Karucee amshawishi Zinduna

shangaa na wewe
Haaaa Lady doctor morning ...umekuwa kuwadi wa Karucee jamani....

Nishakupa rule moja ili ndoa yako ipone
hapana mie sio kuwadi..... Yaani najitahidi tu kunusuru ka ndoa kangu

Not really. Akinipa ka jamaa katakakonivutia nitaachana na Arushaone
Haa iyo ni beyond repair ujue😀😀

Aninyonge eeh?
Apana tindikali italeta matatizo zaidi..mtie kamba...lol
 
Last edited by a moderator:
Just say the total amount

hamna. Nampenda kweli hivyo. Ila mwanao anajitahidi kweli kusambaratisha ndoa zangu.
Kaizer? No way. Jaribu mwingine nitakuachiaA1. Eiyer hajashindwa chochote.

hahahahaha. Ungejua?

shangaa na wewe

Nishakupa rule moja ili ndoa yako ipone

Not really. Akinipa ka jamaa katakakonivutia nitaachana na Arushaone

Aninyonge eeh?

sijui nikupe bure? Hata hivyo uchoyo ni dhambi......... Staki niitende atii...... Enenda kwa Arushaone kwa amani!! Sema AMEN!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom