Kaka kaka... Unatishaaa!!!! Umevuta ngapi Hizoo?

Kaka kaka... Unatishaaa!!!! Umevuta ngapi Hizoo?

Erickb52 yuko wapi? Mara ya mwisho nilisikia yy na Mr Rocky wamekamatwa China ila Eiyer alikuwa anahaha kuwawekea dhamana!
Mkuu tatizo hawa jamaa ni wabishi sana
Mr Rocky ana maisha mazuri tu lakini sembe haachi sijui kwanini Erickb52 ana kampuni ya kusafirisha mizigo Afrika mashariki na kati lakini nae sembe haachi

Ngoja nipambane niwarudishe nyumbani lakini itabidi waache hii makitu ....lol!!!!!
 
Last edited by a moderator:
actuary hiri rijamaa ni ritajiri mpaka sasa, na ukipanda hayo mabasi na ukajitamburisha mwana jf huripi nauri.
cc:: kiwatengu Arushaone Lady doctor

Nimeagiza zingine mkuu, ingawa ni Yutong ila nahitaji madriver na makondakta wa kumwaga. Tafuta members wa jf wenye uhitaji wa kazi hizo.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu tatizo hawa jamaa ni wabishi sana
Mr Rocky ana maisha mazuri tu lakini sembe haachi sijui kwanini Erickb52 ana kampuni ya kusafirisha mizigo Afrika mashariki na kati lakini nae sembe haachi

Ngoja nipambane niwarudishe nyumbani lakini itabidi waache hii makitu ....lol!!!!!

Watavuna wanachopanda tu hawa.
 
Last edited by a moderator:
1517544_657196254316908_1448324727_n.jpg

10155241_657196247650242_477370755_n.jpg

Mambo ya Billionaire wa Arusha hayo.. Arushaone.

Ndiyo maana mabinti wakali wakali huwa wana sticky kwa jamaa yangu.
Mamndenyi, black woman na Madame B haya mambo mlimwacha nao?

kwa sasa
Lady doctor anayamaintain kwa ukaribu zaidi. (tunza mali shemu)..

hapa kiwatengu nikishangaa baada yakujikuta narudishiwa nauli..

10155382_657196250983575_621846582_n.jpg

Mnisamehe kwa kuiweka picha yangu halisi...

Mtabaku kuabika na kufuatilua mali za watu .. wenyewe wakifabya maendelei .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom