uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 14,682
- 20,458
Umetumwa?
na nani tena?
Umetumwa?
Kwani Karucee ni mke wa nani mkuu? Lady doctor najua wala hilo halina ubishi!
nimeona kwenye ule uzi wa mtongozano.
ameandikwa yeye na Nyani Ngabu
:rip:!!
"Yeye" ni nani?
nimeona kwenye ule uzi wa mtongozano.
ameandikwa yeye na Nyani Ngabu
Aliyeandika ni yeye au Nyani ngabu?
nadhani ni yeye na kiwatengu
"Yeye" ni nani?
Hapana, iliandikwa kimakosa tu kwa kutumia makisio. Simjui huyo mtu zaidi ya kumwona tu humu JF. Na hata ukirudi kuisoma tena hiyo nyuzi, kwenye michango yangu nilikana kuwepo kitu kama hicho tokea awali kabisa. Kama sikosei nilifanya hivyo mwezi wa kwanza mwishoni au wa pili mwanzoni.
Hapana, sijawahi kuandika kitu kama hicho.
Hapana, mimi sijawahi kuandika kitu kama hicho kwa sababu hakijawahi kuwepo, kamwe.
Hakika "yeye" si mimi. Sijui kwa nini tu watu hupenda kudhani kuwa ni mimi.
ni yeye kweli, ameonekana sehemu nyingi sana
nyumba ndogo ya nyasi......... Ntaitia kiberiti