kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 19,489
- 18,370
Mambo ya Billionaire wa Arusha hayo.. Arushaone.
Ndiyo maana mabinti wakali wakali huwa wana sticky kwa jamaa yangu.
Mamndenyi, black woman na Madame B haya mambo mlimwacha nao?
kwa sasa Lady doctor anayamaintain kwa ukaribu zaidi. (tunza mali shemu)..
hapa kiwatengu nikishangaa baada yakujikuta narudishiwa nauli..
Mnisamehe kwa kuiweka picha yangu halisi...