Kaka Cyprian huu sio utamaduni wa wastaarabu

Mtu katumwa na Magufuli we unampinga? Au umetumwa na mabeberu?
Siku pale pembeni ya aga khan wakati wa ufunguzi wa ujenzi wa daraja, kaka Cyprian alikaa viti vya mbele chini ya hema, yaani alitazamana moja kwa moja na meza kuu.

Kama ni approach inayotoka magogoni moja kwa moja, basi ni wrong one. Hutakiwi kuonyesha kuumizwa kila unapokutana na mawazo yasiyofanana na ya kwako, naunganisha dot na ile kauli ya wale wanaowashwawashwa
 
Ndio hivyo na wakiendelea kupinga wanapigwa risasi au tunawapa kesi
 
Unaweza kudai unampenda sana Rais na hutaki kwa namna yoyote ile atukanwe au akosolewe. Hayo mapenzi yako unayoyasema mbele ya kamera, hakuna anayeweza kuyapima wala kuyathibitisha.

Unatengeneza aina fulani za siasa ambazo kwa bahati mbaya hujui madhara yake yanaweza kuwa makubwa kiasi gani.

Kwa taarifa yako ni kwamba ile radio ya kule Rwanda ambayo ilichochea maasi, haikuwa ikiendeshwa kwa gharama kubwa. Sawa sawa na gharama za utoaji wako wa habari.

Gharama za kufikisha ujumbe ni ndogo lakini madhara ya ujumbe wa radio ile yalikuwa ni vifo vya watu zaidi ya watu laki nane wasio na hatia yoyote ile. Kaka mkubwa Cyprian wenye mapenzi na ufanisi wa kazi anazofanya mheshimiwa JPM ni wengi.

Bahati mbaya kati ya hao hao team JPM wapo ambao wanakwazika na ujumbe wako, wapo ambao wanawaheshimu wazee ambao unapowataja majina ni kama vile unawazungumzia wanafunzi mliomaliza la saba au kidato cha sita pamoja.

Haipendezi kukuona kila baada ya siku chache ukijibizana na watu, huku mkiwa mnakejeliana na kutukanana, hii ni cheap politic, haiwezi kuwa na tija itakayodumu kwa miaka mingi kuanzia leo.

Nakutakia mwaka 2019 wenye mafanikio, lakini anza kwanza kwa kubadili approach ambayo inakufanya utengeneze maadui kumi na rafiki moja kila unaporusha hewani video clip mpya.
Leo umenkera sana kupoteza muda wako kumshaur "huyo mtu" kwan hujaskia habar za karbun kua aliwai lala na Dada zake? Na maandko yanasema ," na alaaniwe mtu yule alalaye na umbu lake" sasa unapoteza muda wa nn?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njaa yake itamponza, amuulize mtoto wa marehemu mobutu seseseko alikuwa anaogopwa Zaire yote siku baba yake alipopinduliwa aliiona barabara ya vumbi ziwani.
Well said. Namkumbuka sana huyo, ni marehemu, alikuwa anaitwa Kongolo Mobutu, alikuwa Captain ktk jeshi la zamani la iliyokuwa Zaire, alikuwa na kiburi sana wakati wa utawala wa baba yake. Nafikiri alifia nchini Togo alikokuwa amekimbilia.
 
Ukijuwa anayemtuma mtumwa utashangaa aina ya vyombo tulivyonavyo nchini. Ukijuwa mmiliki wa gazeti linalotumika, mhariri na anayemlipa huyo "mtumwa" utagundua kwamba nchi iko mikononi mwa mafia wanaolindwa vyombo vya dola na katiba. Kila mpenda haki na mwenye nia njema na nchi anatakiwa sasa aamke kukemea uhalifu wa dola dhidi ya watu wake.
 
Acheni musiba atoe maoni yake , ndio demokrasia tunayoitaka , tuvumiliane
 
m
Unaweza kudai unampenda sana Rais na hutaki kwa namna yoyote ile atukanwe au akosolewe. Hayo mapenzi yako unayoyasema mbele ya kamera, hakuna anayeweza kuyapima wala kuyathibitisha.

Unatengeneza aina fulani za siasa ambazo kwa bahati mbaya hujui madhara yake yanaweza kuwa makubwa kiasi gani.

Kwa taarifa yako ni kwamba ile radio ya kule Rwanda ambayo ilichochea maasi, haikuwa ikiendeshwa kwa gharama kubwa. Sawa sawa na gharama za utoaji wako wa habari.

Gharama za kufikisha ujumbe ni ndogo lakini madhara ya ujumbe wa radio ile yalikuwa ni vifo vya watu zaidi ya watu laki nane wasio na hatia yoyote ile. Kaka mkubwa Cyprian wenye mapenzi na ufanisi wa kazi anazofanya mheshimiwa JPM ni wengi.

Bahati mbaya kati ya hao hao team JPM wapo ambao wanakwazika na ujumbe wako, wapo ambao wanawaheshimu wazee ambao unapowataja majina ni kama vile unawazungumzia wanafunzi mliomaliza la saba au kidato cha sita pamoja.

Haipendezi kukuona kila baada ya siku chache ukijibizana na watu, huku mkiwa mnakejeliana na kutukanana, hii ni cheap politic, haiwezi kuwa na tija itakayodumu kwa miaka mingi kuanzia leo.

Nakutakia mwaka 2019 wenye mafanikio, lakini anza kwanza kwa kubadili approach ambayo inakufanya utengeneze maadui kumi na rafiki moja kila unaporusha hewani video clip mpya.
msiba jina lenyewe ni shida
 
Back
Top Bottom