mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,397
- 138,119
yakija tokea ya kutokea, huyu mtindiga na wanaomtuma wote watakuwa chakula cha ICC (Hague)!Unaweza kudai unampenda sana Rais na hutaki kwa namna yoyote ile atukanwe au akosolewe. Hayo mapenzi yako unayoyasema mbele ya kamera, hakuna anayeweza kuyapima wala kuyathibitisha.
Unatengeneza aina fulani za siasa ambazo kwa bahati mbaya hujui madhara yake yanaweza kuwa makubwa kiasi gani.
Kwa taarifa yako ni kwamba ile radio ya kule Rwanda ambayo ilichochea maasi, haikuwa ikiendeshwa kwa gharama kubwa. Sawa sawa na gharama za utoaji wako wa habari.
Gharama za kufikisha ujumbe ni ndogo lakini madhara ya ujumbe wa radio ile yalikuwa ni vifo vya watu zaidi ya watu laki nane wasio na hatia yoyote ile. Kaka mkubwa Cyprian wenye mapenzi na ufanisi wa kazi anazofanya mheshimiwa JPM ni wengi.
Bahati mbaya kati ya hao hao team JPM wapo ambao wanakwazika na ujumbe wako, wapo ambao wanawaheshimu wazee ambao unapowataja majina ni kama vile unawazungumzia wanafunzi mliomaliza la saba au kidato cha sita pamoja.
Haipendezi kukuona kila baada ya siku chache ukijibizana na watu, huku mkiwa mnakejeliana na kutukanana, hii ni cheap politic, haiwezi kuwa na tija itakayodumu kwa miaka mingi kuanzia leo.
Nakutakia mwaka 2019 wenye mafanikio, lakini anza kwanza kwa kubadili approach ambayo inakufanya utengeneze maadui kumi na rafiki moja kila unaporusha hewani video clip mpya.
Unaweza kudai unampenda sana Rais na hutaki kwa namna yoyote ile atukanwe au akosolewe. Hayo mapenzi yako unayoyasema mbele ya kamera, hakuna anayeweza kuyapima wala kuyathibitisha.
Unatengeneza aina fulani za siasa ambazo kwa bahati mbaya hujui madhara yake yanaweza kuwa makubwa kiasi gani.
Kwa taarifa yako ni kwamba ile radio ya kule Rwanda ambayo ilichochea maasi, haikuwa ikiendeshwa kwa gharama kubwa. Sawa sawa na gharama za utoaji wako wa habari.
Gharama za kufikisha ujumbe ni ndogo lakini madhara ya ujumbe wa radio ile yalikuwa ni vifo vya watu zaidi ya watu laki nane wasio na hatia yoyote ile. Kaka mkubwa Cyprian wenye mapenzi na ufanisi wa kazi anazofanya mheshimiwa JPM ni wengi.
Bahati mbaya kati ya hao hao team JPM wapo ambao wanakwazika na ujumbe wako, wapo ambao wanawaheshimu wazee ambao unapowataja majina ni kama vile unawazungumzia wanafunzi mliomaliza la saba au kidato cha sita pamoja.
Haipendezi kukuona kila baada ya siku chache ukijibizana na watu, huku mkiwa mnakejeliana na kutukanana, hii ni cheap politic, haiwezi kuwa na tija itakayodumu kwa miaka mingi kuanzia leo.
Nakutakia mwaka 2019 wenye mafanikio, lakini anza kwanza kwa kubadili approach ambayo inakufanya utengeneze maadui kumi na rafiki moja kila unaporusha hewani video clip mpya.
Musiba ana mtindio wa ubongo!
Namuongelea mtu ambaye ni mwanachama wa chama anachotoka mkuu wa kaya, chama chenye majukumu makubwa zaidi kiuongozi kuliko kingine.Haya madesa sikuwah yaona mkiyaelekeza kwa anayesema nchi inaongozwa na washamba, Yule aliyesema Tz inaongozwa na Rais wa ovyo na ana mambo ya kijinga. Sijawahi ona ukimkemea Mange, Ngurumo, Chahali na wale wote wanaomtukana Rais humu. Kwamba kuna kundi na watu flani ni halali kutukana na kukashifu viongoz ila wengine ni kuchochea machafuko mara wanajipendekeza nk.Tuache UNAFKI.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu iko hivi,Mfano Ukaandika ufisadi wizara ya madini unanuka na ukawatuhumu viongoz kuhusika. Hii tayar umegusa serikali, So kuna vitengo vya habar maelezo kupitia labda hiyo wizara wataangalia ukweli wenyewe na wakaona ni upotoshaji lzm waende sehem husika ambayo no wizara ya habari na kutoa malalamiko yao na wao pia ni kuwapa barua wahusika wajieleze kuhusu Hiyo habar inayosemekana ni Potofu. Kama watashindwa kinachofanyika ni kutoa onyo na kama hali ikiendelea ni kupigwa ban. Fuatilia magazet yanapofungiwa utaona kuna taarifa kuwa wahusika waliitwa, walipewa onyo au kupewa mashart flani na wakaendelea kukaidi. Hakuna gazeti linalofungwa kiholela au bila mlalamikaj kutoa taarifa sehem husika. Hata wewe unaweza enda sehem husika na kupata haki yako,Ishu ni nyie kugeuza social networks kama ndio sehem ya kutatua mattz.Hujiuliz inakuaje Zito anamtia mikwara ya kumroga badala ya kumburuza mahakaman?Mtaje muhusika aliyeenda kushitaki magazeti pindi wahariri na magazeti yasiyofagilia serikali yalipoandika habari hasi za jiwe na serikali.
Yani Leo hadi my beautiful dada fox umepata like yangu basi naanza kukuelewa.Asante hata ninyi CCM kindakindaki mmeliona hili zombie Musiba.Huyo ni mshenzi hana ustaarabu.
Kuna kanuni au sheria zozote kavunja?Si huwa wanasema watasema kweli Daima uongo mwiko?Mpo radhi akina nape,bashe nk wamnange Rais lkn sio watu waibuke wamkunbatie Rais.Hakuna sehem yyt mtu anaruhusiwa kumchafua mwenzie na huu sio uhuru wa kujieleza. Haiitaji iwe ccm au cdm,Wote inatakiwa kuheshimiana. Na katu hakuna machafuko yyt eti kisa musiba kawataja watu flani coz hii tushazoea hata huko upinzan kutoa matusi yao.Mkuu kuna baadhi ya watu humu wanatukana hadi roho inauma, Sijui hawa hawawez leta machafuko ila musiba tuNamuongelea mtu ambaye ni mwanachama wa chama anachotoka mkuu wa kaya, chama chenye majukumu makubwa zaidi kiuongozi kuliko kingine.
Sio suala la ZZK au Lissu au hao wanaharakati wengine uliowataja, hapa tunaongelea chama ambacho ilani yake ya uchaguzi ndio inaendelea kutekelezwa.
Tunaongelea chama ambacho hakina utamaduni wa kuwakejeli na kuwanyooshea vidole wanachama wenye umri mkubwa.
Jamii Forum inavyoendeshwa ni tofauti na huyo kaka anavyofanya. Anataka kujifananisha na wale waarabu wanaovaa mabomu, tofauti ni kwamba yeye anajilipua mbele ya kamera.Kuna kanuni au sheria zozote kavunja?Si huwa wanasema watasema kweli Daima uongo mwiko?Mpo radhi akina nape,bashe nk wamnange Rais lkn sio watu waibuke wamkunbatie Rais.Hakuna sehem yyt mtu anaruhusiwa kumchafua mwenzie na huu sio uhuru wa kujieleza. Haiitaji iwe ccm au cdm,Wote inatakiwa kuheshimiana. Na katu hakuna machafuko yyt eti kisa musiba kawataja watu flani coz hii tushazoea hata huko upinzan kutoa matusi yao.Mkuu kuna baadhi ya watu humu wanatukana hadi roho inauma, Sijui hawa hawawez leta machafuko ila musiba tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Amekuja na gia ya kumpenda rais kuliko maelezo. Yaani anaupenda utawala wa JPM na yupo tayari kufanya lolote katika kuulinda!.Musiba acha aendelee kutukana hao wastaafu wa CCM wakati wanatukanwa akina Mange na wenzake wengi tulikaa kimya,Kwanza hajaanza! Kuna tusi alimtukana Mange kuhusu Mzee Kimambi lile ndilo tusi.
Kwahiyo wastaafu na baadhi ya wanachama wa CCM mjiandae mwaka huu 2019 kuporomoshewa mzigo wa matusi kutoka kwa Musiba
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Yule ni mwandishi wa Habari na kuna maadili anatakiwa ayafuate bila kujali huyu ni ccm au cdm.Mngekua na hoja kama mngekua mnasema anayoongea sio kweli, lkn kama watuhumiwa wote wanaishia kutoa mikwara na kutuma vijana wao jf kuwatetea sifikir kama ni hoja.Jamii Forum inavyoendeshwa ni tofauti na huyo kaka anavyofanya. Anataka kujifananisha na wale waarabu wanaovaa mabomu, tofauti ni kwamba yeye anajilipua mbele ya kamera.
Hao wazee anaowasema hadharani huwa wanavyo vikao vya pembeni, anajenga upya ile roho ya uhasama ambao awamu ya tano imejitahidi kuumaliza.
Wanaoshambuliwa kutojitokeza hadharani sio uhalali wa yeye kuwashambulia. Wakati mwingine ni ukomavu wao kisiasa.Mkuu Yule ni mwandishi wa Habari na kuna maadili anatakiwa ayafuate bila kujali huyu ni ccm au cdm.Mngekua na hoja kama mngekua mnasema anayoongea sio kweli, lkn kama watuhumiwa wote wanaishia kutoa mikwara na kutuma vijana wao jf kuwatetea sifikir kama ni hoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Udukuzi, fake news. Anaowashambulia wameamua kupambana nae.Mwaka mpya musiba naona kabadilika maana naona gazeti lake linaeleza kinagaubaga....au watu wamedukua account yake?View attachment 984746
Daima toa bila kukumbuka na Pokea bila kusahau
Mkuu elewa tu Musiba sio mropokaji na katika anayoongea kuna ukweli. Hapo hakuna cha ukomavu wa kisiasa wala nini.Zito alimtia mikwara ya kumroga, huu ndio ukomavu wa kisiasa?Tumesikia juzi Membe kamburuza mahakaman na kuna mwingine alimpa mda naye kimya.So hapo hakuna cha ukomavu wa kisiasa zaid ya wao wanajua musiba ana mengi machafu yao na kupambana naye ni kuendelea kujichafua.Wanaoshambuliwa kutojitokeza hadharani sio uhalali wa yeye kuwashambulia. Wakati mwingine ni ukomavu wao kisiasa.
Anatakiwa abadili mbinu kama analo lengo lililojificha dhidi ya anaowashambulia.
Yeye na wanaomtuma, wamekosa strategy sahihi.Mkuu elewa tu Musiba sio mropokaji na katika anayoongea kuna ukweli. Hapo hakuna cha ukomavu wa kisiasa wala nini.Zito alimtia mikwara ya kumroga, huu ndio ukomavu wa kisiasa?Tumesikia juzi Membe kamburuza mahakaman na kuna mwingine alimpa mda naye kimya.So hapo hakuna cha ukomavu wa kisiasa zaid ya wao wanajua musiba ana mengi machafu yao na kupambana naye ni kuendelea kujichafua.
Sent using Jamii Forums mobile app