Kaka Cyprian huu sio utamaduni wa wastaarabu

Kaka Cyprian huu sio utamaduni wa wastaarabu

Jibu kwanza ule ugonjwa wako wa HIV umepona? Ukichanganya na minyoo sidhani utakuwa na akili timamu!

Mchawi ndiyo humjua Mchawi wewe ni kichaa tulilazwa wote vichaa ndiyo ukanijua na Bangi tunavuta wote wewe ni kichaa mwenzangu si unataka story za kifala ngoja nikunyooshe uache ungese wako.
 
minyoo katika ubora wake! Itabidi tutafute dawa ya minyoo sasa inaonekana bwawa hili limejaa minyoo tena mikubwa kubwa!

Katika binadamu wapumbavu Duniani wewe ni Namba one yaani hufai hata kulala na mbuzi zizini unafaa ulale na punda wakungese na kukupiga mateke ndipo utazinduka na kuacha ushambenga wako, yaani badala ya kujenga hoja umekuja kuvuruga mada kifala fala usidhani maneno yako ya kishamba yatanishitua.
 
Fisadi mkubwa acha kubwabwaja!

Ufisadi upo kwenye trilion 1.5 ujenzi wa chato Airport kienyeji pasipo idhini ya Bunge , huo ndiyo ufisadi olijino achilia ufisadi mwingine wa miladi ya CCM.
 
Mkuu minyoo umepona ugonjwa wako?

Tokea tulazwe wote milembe sijarejea huko lakini nasikia wewe kila week ujaenda kuchukua vidonge vya kusafisha Ubongo kutoa Moshi wa Bangi na unga.
 
CCM muone Aibu nendeni mkamdai pesa zenu Le mutuz kwani kala pesa nyingi kwa kisingizio cha kuwaajiri vijana w kuwatetea CCM kwenye mitandao, lakini kala pesa zote kaishi koukoteza vijitu vinjinga vijinga kama vya akina UCD na wenzake vilaza washamba kuja kuwatetea mitandaoni wanalipwa vicent vya ngama kisha kukesha kwenye mitandao kusumbua watu makusudi l.
 
Siyo kweli Musiba anasema ukweli kama ni uongo washauri hao ndugu zako waende mahakamani wakashitaki ili haki ipatikani la sivyo asrmacho Musiba ni ukweli. Na kwa taarifa yako nakujulisha tu kuwa marafiki wa Musiba ni wengi kuliko maadui wake kwenye issue anazozitoa. Be informed.
Mkuu, hulka za watu wazima ambao wamewahi kuwa na vyeo vikubwa sio sawa na hulka za vijana, wenye kupenda kukimbilia mahakamani mara kwa mara.
Cyprian awe mwangalifu tu, muda huwa unapita kwa kasi sana, hakuna kinachobakia kama kilivyo.
 
Musiba ni kubwa jinga, anaungwa mkono na kichaa, mwacheni azidi kumletea aibu kichaa
ipo siku watu anaowazushia ujinga watachoka ndipo watamtandika kozi mbele ya mke wake na vitoto vyakee apate kujifunza Adabu
 
Siyo kweli Musiba anasema ukweli kama ni uongo washauri hao ndugu zako waende mahakamani wakashitaki ili haki ipatikani la sivyo asrmacho Musiba ni ukweli. Na kwa taarifa yako nakujulisha tu kuwa marafiki wa Musiba ni wengi kuliko maadui wake kwenye issue anazozitoa. Be informed.
Waende mahakama za wapi? Mahakama za Tanzania sasa ni mahakamaccm hazitoi haki mpaka kwa Amri toka juu, au waende mahakama ya The Hague kule Uholanzi? Musiba cyprian hasemi Ukweli wowote bali kaamua kujitoa fahamu kutengeneza propaganda za kifala fala apate kuvuna kula na kufaidi pesa za mtukufu na CCM kwa njia Haramu tupu ni Aina Fulani ya matumizi mabaya ya pesa za umma ( ufisadi) kuchukua pesa za walipa kodi kumlipa cyprian Musiba atengeneze Uzushi wa kishamba ni ufujaji wa pesa za watanzania, Musiba tafuta pesa kwa njia zingine za haki acha kutafuna pesa za walipa kodi kwa njia Haramu.
 
Mii ni team JPM ila utamaduni huu wa huyu Jamaa ni shida si utanzania kabisa Musiba is an embarassiment mi Sina uhakika kwa nini hata mamlaka zinamkalia kimya . Nasikia kukereka anaposema watu ati wana ukimwi ni humilliation ya aina ya ujinga .
 
Anaemtumaa ndo ana Makosaaa...!! Kwa nchi ilivyosasa na hali ya Demokrasia hakuna KIUMBE ANAWEZA FANYA ANAYOFANYA MUSIBA akaachwa tu hivihivi na serikali..

MUSIBA NI MJUMBE TU...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mii ni team JPM ila utamaduni huu wa huyu Jamaa ni shida si utanzania kabisa Musiba is an embarassiment mi Sina uhakika kwa nini hata mamlaka zinamkalia kimya . Nasikia kukereka anaposema watu ati wana ukimwi ni humilliation ya aina ya ujinga .
Ujue Cyprian ni bonge la mshamba tena yule mtindiga kabsa ndiyo maana hata uongeaji wake huwa ni wa kishamba na kifala fala, hawezi kuwanyoshea watu vidole kwa kusema wana HIV wakati yy mwenyewe bado anachepuka na vicheche huku mzungu akiendelea kumla kiboga na uwezekano wa kupata ukimwi na yy anao pia, kwa kuwa anatengeneza uzushi ajue mungu atampatia HIV ki ukweli kweli kabsa ili aache kuwapakazia watu ugonjwa
 
Cyprian musiba kanaishi kama digdig usiku hapati usingizi akisikia hata mjusi anazama uvunguni ni hatari sana,
 
..But why has he lasted this long?

..tena anadai anasambaza gazeti lake BURE mpaka serekalini na kwenye vyombo vya dola.

..sasa mtu kama huyo unadhani yuko peke yake?

..Au labda ungejiuliza, nani yuko pamoja na Musiba?

..Kwa maoni yangu, wanaom-support Musiba wako tayari kwa lolote, ikiwemo hayo uliyotahadharisha kwamba yanaweza kutokea.


Mtambo wa kuchapisha hicho kipeperushi alichokiita gazeti ulifahamika 2023 ulikuwa wapi na dhumuni la kipeperushi chake.

Naamini Mwaipopo atapitia hapa apate funzo.
 
Back
Top Bottom