Kaka Cyprian huu sio utamaduni wa wastaarabu

Musiba ana haki ya kutoa maoni yake maana sheria za nchi zinaruhusu hilo ila kama kuna mtu anaona amechafuliwa basi aende mahakamani ili taratibu za kisheria ziendelee.
 
Huyo ni mshenzi hana ustaarabu.
Huyu ni mwanahabari mahiri hapa Tz kwa sasa ndio maana haogopi kuongea mazito dhidi ya wengine sababu ana ushahidi hivyo kumuita mshenzi si ustaarabu
 
Unaweza kudai unampenda sana Rais na hutaki kwa namna yoyote ile atukanwe au akosolewe. Hayo mapenzi yako unayoyasema mbele ya kamera, hakuna anayeweza kuyapima wala kuyathibitisha.

Unatengeneza aina fulani za siasa ambazo kwa bahati mbaya hujui madhara yake yanaweza kuwa makubwa kiasi gani.

Kwa taarifa yako ni kwamba ile radio ya kule Rwanda ambayo ilichochea maasi, haikuwa ikiendeshwa kwa gharama kubwa. Sawa sawa na gharama za utoaji wako wa habari.

Gharama za kufikisha ujumbe ni ndogo lakini madhara ya ujumbe wa radio ile yalikuwa ni vifo vya watu zaidi ya watu laki nane wasio na hatia yoyote ile. Kaka mkubwa Cyprian wenye mapenzi na ufanisi wa kazi anazofanya mheshimiwa JPM ni wengi.

Bahati mbaya kati ya hao hao team JPM wapo ambao wanakwazika na ujumbe wako, wapo ambao wanawaheshimu wazee ambao unapowataja majina ni kama vile unawazungumzia wanafunzi mliomaliza la saba au kidato cha sita pamoja.

Haipendezi kukuona kila baada ya siku chache ukijibizana na watu, huku mkiwa mnakejeliana na kutukanana, hii ni cheap politic, haiwezi kuwa na tija itakayodumu kwa miaka mingi kuanzia leo.

Nakutakia mwaka 2019 wenye mafanikio, lakini anza kwanza kwa kubadili approach ambayo inakufanya utengeneze maadui kumi na rafiki moja kila unaporusha hewani video clip mpya.
Musiba anajua pasu kuwa anakinga ya hali ya juu sana kutoka kwa watawala ndio maana huwa press conference zake na mambo ambayo anayataja ayumbishwi wala kuhojiwa na Mamlaka husika mbele yake

Mme shuhudia mambo mangapi anasema bwana Musiba na watawala kupitia Mamlaka zake hatujawahi sikia wakimhoji wala kushughulikia watu anaowasema katika agenda zake

Huyu Musiba anakiburi komavu sana ambacho ni hatari kwa taifa letu pendwa Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mlizoea kutukana peke yenu sasa Msiba kawabana hampumui!!!!! Kaka Msiba endelea kubana mbavu ulipo ndo mahali penyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe we ndio unayemtuma Musiba awe anaita press conference uchwara ambazo zinagawa taifa?
Badilika mwaka 2019 mwambie kakako Musiba unayepanga nae ujinga kuwa Wa Tanzania wanahitaji zaidi umoja ,mshikamano ,upendo na siasa safi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mlizoea kutukana peke yenu sasa Msiba kawabana hampumui!!!!! Kaka Msiba endelea kubana mbavu ulipo ndo mahali penyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni ujuha nyie, anapowatukana kina kinana na makamba walioitumikia nchi hii mbali na chama nyie mnaona sawa? Hao wana marafiki na ndugu jamaa kibao nao wanajisikiaje ?
 
Unaposema tumeanza kugeukana unakuwa unaongea kama vile unanijua mimi kwa ukaribu na unamjua huyo kaka. Kitu ambacho sio sahihi kukisema.

Tunamrudisha kwenye mstari tukimkumbusha maadili maana yake ni nini.

Wewe kumchukia au kumpenda JPM sio kitu muhimu, kama wapo milioni nane na zaidi wanaomkubali, who are you nkuwi?.

..But why has he lasted this long?

..tena anadai anasambaza gazeti lake BURE mpaka serekalini na kwenye vyombo vya dola.

..sasa mtu kama huyo unadhani yuko peke yake?

..Au labda ungejiuliza, nani yuko pamoja na Musiba?

..Kwa maoni yangu, wanaom-support Musiba wako tayari kwa lolote, ikiwemo hayo uliyotahadharisha kwamba yanaweza kutokea.
 
Kuna Clip nilisikiliza nikaishia kucheka tu; kuna mwanasiasa alikutana na mgomvi wake mahabusu akaishia kudhalilika ; Mara hawara yake ni muathurika. Aisee.
 
Huyu ni mwanahabari mahiri hapa Tz kwa sasa ndio maana haogopi kuongea mazito dhidi ya wengine sababu ana ushahidi hivyo kumuita mshenzi si ustaarabu
Udaku ndiyo umahiri?
 
Unaweza kudai unampenda sana Rais na hutaki kwa namna yoyote ile atukanwe au akosolewe. Hayo mapenzi yako unayoyasema mbele ya kamera, hakuna anayeweza kuyapima wala kuyathibitisha.

Unatengeneza aina fulani za siasa ambazo kwa bahati mbaya hujui madhara yake yanaweza kuwa makubwa kiasi gani.

Kwa taarifa yako ni kwamba ile radio ya kule Rwanda ambayo ilichochea maasi, haikuwa ikiendeshwa kwa gharama kubwa. Sawa sawa na gharama za utoaji wako wa habari.

Gharama za kufikisha ujumbe ni ndogo lakini madhara ya ujumbe wa radio ile yalikuwa ni vifo vya watu zaidi ya watu laki nane wasio na hatia yoyote ile. Kaka mkubwa Cyprian wenye mapenzi na ufanisi wa kazi anazofanya mheshimiwa JPM ni wengi.

Bahati mbaya kati ya hao hao team JPM wapo ambao wanakwazika na ujumbe wako, wapo ambao wanawaheshimu wazee ambao unapowataja majina ni kama vile unawazungumzia wanafunzi mliomaliza la saba au kidato cha sita pamoja.

Haipendezi kukuona kila baada ya siku chache ukijibizana na watu, huku mkiwa mnakejeliana na kutukanana, hii ni cheap politic, haiwezi kuwa na tija itakayodumu kwa miaka mingi kuanzia leo.

Nakutakia mwaka 2019 wenye mafanikio, lakini anza kwanza kwa kubadili approach ambayo inakufanya utengeneze maadui kumi na rafiki moja kila unaporusha hewani video clip mpya.

Mkuu huyo ni kipaza sauti tu.
 
Phillip Mimi simlaumu sana Musiba. Tatizo liko na serikali yetu pendwa. Hivi ni kwanini hajadhibitiwa huyu bwana ?!!!. Aliwahi kuitwa na Mwakyembe ili wamuweke Sawa, sijui ilikuwa Je ?!

Inavyoonekana wanaopiganiwa na Musiba wanafurahia style yake ya habari ya kuwahami. Kwani safari hii mambo usiyoyatajia ndiyo huwa kipaumbele. Vinginevyo mbona Musiba angeshadhibitiwa !!!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza kudai unampenda sana Rais na hutaki kwa namna yoyote ile atukanwe au akosolewe. Hayo mapenzi yako unayoyasema mbele ya kamera, hakuna anayeweza kuyapima wala kuyathibitisha.

Unatengeneza aina fulani za siasa ambazo kwa bahati mbaya hujui madhara yake yanaweza kuwa makubwa kiasi gani.

Kwa taarifa yako ni kwamba ile radio ya kule Rwanda ambayo ilichochea maasi, haikuwa ikiendeshwa kwa gharama kubwa. Sawa sawa na gharama za utoaji wako wa habari.

Gharama za kufikisha ujumbe ni ndogo lakini madhara ya ujumbe wa radio ile yalikuwa ni vifo vya watu zaidi ya watu laki nane wasio na hatia yoyote ile. Kaka mkubwa Cyprian wenye mapenzi na ufanisi wa kazi anazofanya mheshimiwa JPM ni wengi.

Bahati mbaya kati ya hao hao team JPM wapo ambao wanakwazika na ujumbe wako, wapo ambao wanawaheshimu wazee ambao unapowataja majina ni kama vile unawazungumzia wanafunzi mliomaliza la saba au kidato cha sita pamoja.

Haipendezi kukuona kila baada ya siku chache ukijibizana na watu, huku mkiwa mnakejeliana na kutukanana, hii ni cheap politic, haiwezi kuwa na tija itakayodumu kwa miaka mingi kuanzia leo.

Nakutakia mwaka 2019 wenye mafanikio, lakini anza kwanza kwa kubadili approach ambayo inakufanya utengeneze maadui kumi na rafiki moja kila unaporusha hewani video clip mpya.

Mkuu

Yule ni kichaa..His brain got shit stains!

Nadhani kwa kiasi fulani mass ishaanza kumdharau,haimchukulii serious tena!
 
Namuongelea mtu ambaye ni mwanachama wa chama anachotoka mkuu wa kaya, chama chenye majukumu makubwa zaidi kiuongozi kuliko kingine.

Sio suala la ZZK au Lissu au hao wanaharakati wengine uliowataja, hapa tunaongelea chama ambacho ilani yake ya uchaguzi ndio inaendelea kutekelezwa.

Tunaongelea chama ambacho hakina utamaduni wa kuwakejeli na kuwanyooshea vidole wanachama wenye umri mkubwa.
Hivi ni nani alimzaba makofi Judge Warioba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu iko hivi,Mfano Ukaandika ufisadi wizara ya madini unanuka na ukawatuhumu viongoz kuhusika. Hii tayar umegusa serikali, So kuna vitengo vya habar maelezo kupitia labda hiyo wizara wataangalia ukweli wenyewe na wakaona ni upotoshaji lzm waende sehem husika ambayo no wizara ya habari na kutoa malalamiko yao na wao pia ni kuwapa barua wahusika wajieleze kuhusu Hiyo habar inayosemekana ni Potofu. Kama watashindwa kinachofanyika ni kutoa onyo na kama hali ikiendelea ni kupigwa ban. Fuatilia magazet yanapofungiwa utaona kuna taarifa kuwa wahusika waliitwa, walipewa onyo au kupewa mashart flani na wakaendelea kukaidi. Hakuna gazeti linalofungwa kiholela au bila mlalamikaj kutoa taarifa sehem husika. Hata wewe unaweza enda sehem husika na kupata haki yako,Ishu ni nyie kcugeuza social networks kama ndio sehem ya kutatua mattz.Hujiuliz inakuaje Zito anamtia mikwara ya kumroga badala ya kumburuza mahakaman?

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni hivi, huyo anayemtuma Musiba hata mahakama inajiuliza imvae vipi. Polisi ikisikia jina lake inapagawa. Hiyo ndio Africa, mambo sijui wizara gani ilifanya nini ni kuongeza wingi wa paragraph tu.
 
Back
Top Bottom