Kaka Cyprian huu sio utamaduni wa wastaarabu

Kaka Cyprian huu sio utamaduni wa wastaarabu

Kwani aliyeleta taarifa humu ni Membe au mke wake?

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu

Mkuu mleta mada kaleta taarifa inyomhusu Musiba, swali lako linaulizia issue ya Membe.
 
Njaa yake itamponza, amuulize mtoto wa marehemu mobutu seseseko alikuwa anaogopwa Zaire yote siku baba yake alipopinduliwa aliiona barabara ya vumbi ziwani.
ameingia kwenye kundi la watakaokimbia nchi jpm akitoka madarakani
 
Mkuu mleta mada kaleta taarifa inyomhusu Musiba, swali lako linaulizia issue ya Membe.
Shida tayar una framework ya mjadala kichwani mwako

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
 
Sijui walimlisha mav yake leba wakati amezaliwa tu?!
 
Cyprian Misiba ni mshenzi kabisa....Watanzania tusimuonee aibu mwanaharamu,hasidi na fukara wa busara kama Cyprian.
Rais JPM sio baba yake Cyprian Musiba wala JPM hayupo madarakani kwa kafara ya mpumbavu kama Cyprian Musiba...JPM ni Rais halali wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania .
Cyprian Musiba ni njaa tu inamsumbua.....wanaompenda JPM wapo na wala sio huyu firauni Cyprian Musiba.

Cyprian Musiba ni shiiida ni kijitu kipumbavu sana ni juza kilaza wa kutupwa jalalani na aombee huyo magufuli mtukufu malaika toka chato atawalle maisha milele lakini ajue siku akitoka ikulu na yy ataolewa na wananchi wenye uchungu na Nchi hii
 
Unaweza kudai unampenda sana Rais na hutaki kwa namna yoyote ile atukanwe au akosolewe. Hayo mapenzi yako unayoyasema mbele ya kamera, hakuna anayeweza kuyapima wala kuyathibitisha.

Unatengeneza aina fulani za siasa ambazo kwa bahati mbaya hujui madhara yake yanaweza kuwa makubwa kiasi gani.

Kwa taarifa yako ni kwamba ile radio ya kule Rwanda ambayo ilichochea maasi, haikuwa ikiendeshwa kwa gharama kubwa. Sawa sawa na gharama za utoaji wako wa habari.

Gharama za kufikisha ujumbe ni ndogo lakini madhara ya ujumbe wa radio ile yalikuwa ni vifo vya watu zaidi ya watu laki nane wasio na hatia yoyote ile. Kaka mkubwa Cyprian wenye mapenzi na ufanisi wa kazi anazofanya mheshimiwa JPM ni wengi.

Bahati mbaya kati ya hao hao team JPM wapo ambao wanakwazika na ujumbe wako, wapo ambao wanawaheshimu wazee ambao unapowataja majina ni kama vile unawazungumzia wanafunzi mliomaliza la saba au kidato cha sita pamoja.

Haipendezi kukuona kila baada ya siku chache ukijibizana na watu, huku mkiwa mnakejeliana na kutukanana, hii ni cheap politic, haiwezi kuwa na tija itakayodumu kwa miaka mingi kuanzia leo.

Nakutakia mwaka 2019 wenye mafanikio, lakini anza kwanza kwa kubadili approach ambayo inakufanya utengeneze maadui kumi na rafiki moja kila unaporusha hewani video clip mpya.
Siyo kweli Musiba anasema ukweli kama ni uongo washauri hao ndugu zako waende mahakamani wakashitaki ili haki ipatikani la sivyo asrmacho Musiba ni ukweli. Na kwa taarifa yako nakujulisha tu kuwa marafiki wa Musiba ni wengi kuliko maadui wake kwenye issue anazozitoa. Be informed.
 
Cyprian Musiba ni shiiida ni kijitu kipumbavu sana ni juza kilaza wa kutupwa jalalani na aombee huyo magufuli mtukufu malaika toka chato atawalle maisha milele lakini ajue siku akitoka ikulu na yy ataolewa na wananchi wenye uchungu na Nchi hii
Mkuu minyoo umepona ugonjwa wako?
 
Nisome Kwa utulivu, ninaposema mmeanza kugeukana namaanisha kuwa Huyu musiba alianza kuwashambulia viongozi wa upinzani Kwa tuhuma fake na nzito kweli kweli, wote mliungana naye mkacheeekaaa na kufurahiii Leo kawagonga upande wenu povuuu debe mnamwaga!

Acheni unafiq.

Jiwe hapendeki shetani ana nafuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapendeki kwa mafisadi na wasaliti wa nchi. Kama unauwezo mguse uone hasira za watz. Fisadi mkubwa!
 
Cyprian Musiba ndiyo kijitu kipumbavu kwa sasa nchini kamegeuka kuwa kituko kwenye jamii hakafai ni kajitu kachonganishi kiongo kizushi kifala sana na kama Le mutuz ambayee ni boss wake kwenye kazi za kudhoofisha chadema na kuua upinzani ikiwemo kumpiga Tundu Lisu Risasi.
 
Njaa yake itamponza, amuulize mtoto wa marehemu mobutu seseseko alikuwa anaogopwa Zaire yote siku baba yake alipopinduliwa aliiona barabara ya vumbi ziwani.
Fisadi mkubwa acha kubwabwaja!
 
Cyprian Musiba ndiyo kijitu kipumbavu kwa sasa nchini kamegeuka kuwa kituko kwenye jamii hakafai ni kajitu kachonganishi kiongo kizushi kifala sana na kama Le mutuz ambayee ni boss wake kwenye kazi za kudhoofisha chadema na kuua upinzani ikiwemo kumpiga Tundu Lisu Risasi.
minyoo katika ubora wake! Itabidi tutafute dawa ya minyoo sasa inaonekana bwawa hili limejaa minyoo tena mikubwa kubwa!
 
Hapendeki kwa mafisadi na wasaliti wa nchi. Kama unauwezo mguse uone hasira za watz. Fisadi mkubwa!

Ufisadi upo? Kwani trilion 1.5 kala nani? 10% ujenzi wa reli, Chato Airport, bomba la mafuta kala mafisadi hewa? au wamekula watu wenzako huko CCM? Acha utindiga wa kolomije na chato wewe ufisadi upo CCM huko huko.
 
Jibu kwanza ule ugonjwa wako wa HIV umepona? Ukichanganya na minyoo sidhani utakuwa na akili timamu!
 
minyoo katika ubora wake! Itabidi tutafute dawa ya minyoo sasa inaonekana bwawa hili limejaa minyoo tena mikubwa kubwa!

Wewe Kocho acha ufala hivi unajua maana ya UCD ukipewa maana unajinyea, kipimo cha ungese hapa JF ni kuisengenya ID ya JF ndiyo maana wana JF hawana time na ID yako licha ya kuwa ni ya kifala sana, Minyoo nipo Tumboni mwako nimekula kila kitu na sasa nimekupanda kichwani unaweweseka ndiyo maana huna Hoja umekalia kuandika ujinga ujinga badala ya kujenga hoja za msingi.
 
Back
Top Bottom