Kajala na mwanae waja na Reality Tv show yao

Kajala reality show hawezi kwanza anakaa kazubaa fulani hivi. Reality show inataka drama queen type ya kina gigy, fanya vituko, drama nyingi upate watazamaji.

Kina wema, Jide, Irene Uwoya walishindwa coz zao zilikuwa too boring unaangalia kitu hakina drama hata moja. Katoka chumbani kaingia seblen Yuko kwenye gari karudi nyumbani.
emoji849.png
emoji849.png
emoji57.png
emoji57.png
Yule gigy komesha.
Yule kweli ukimpa show matukio kila siku.
Mtapga pesa sana show lazma iwe hot.
Kuna tukio alilifanya huku anarekodiwa live eatv kwa mjumbe wa nyumba kumi sinza ataly sana.
Kasmamisaha shughuli zote za mtaa aisee.
 
Kanye West ni producer maarufu wa hip hop duniani, Majani ni producer maarufu wa hip hop East Africa.

Kajala ni celebrity mlimbwende East Africa mwenye scandals za picha chafu...
Kuna kuachana kwa talaka hii ni baada ya kuoana.

Kuna kuzaa pamoja tu, ambapo Kajala na P status yao ni wazazi wenza, hawakuwahi kuwa na uhusiano wa ndoa kama ilivyokuwa kwa Kanye na Kim.

Half cooked and half baked truth ndo unayoleta hapa.
 
Mtu na mama yake ndo upumbavu wao ulipoishia hapa, mxieew reality show kwa maisha yapi waliokua nayo ? Kwa pesa Zipi? , yani kipi cha ajabu sana ambacho wanacho wakafanya mamillion ya watu waache kazi zao kuwatazama? Labda wa shoot porn...
View attachment 1815417
Reality show mtaji wake sio lazima uwe na utajiri,umaarufu ndo mtaji muhimu ktk reality show. Na ata maana/definition ya reality show haihusiani na kuonyesha ukwasi bali kuburudisha/ivyo ata ukionyesha maisha ya vijijini ni sawa. Mleta mada unajichanganya kufikiri kuwa ni matajiri tu ndo wanaoruhusiwa kufanya reality show.

Kinachotakiwa ni kuwaunga mkono mama na mwanae kwa kuanza kutumia umaarufu wao kama mtaji wa kujipatia kipato halali. Tafuta na wewe waweza kufanya nini na uanze mara moja badala ya kutaka kumshusha mwenzako ni bora upande nae.
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Wewe unamponda kajala alafu hapo hapo unamsifia Zari huyo Zari ana kipi cha kufanya reality show au wewe unadhani reality show ni kuonesha magari na nyumba?

We unadhan reality show ni kuonyesha nini makalio?
 
Kajala reality show hawezi kwanza anakaa kazubaa fulani hivi. Reality show inataka drama queen type ya kina gigy, fanya vituko, drama nyingi upate watazamaji.

Kina wema, Jide, Irene Uwoya walishindwa coz zao zilikuwa too boring unaangalia kitu hakina drama hata moja. Katoka chumbani kaingia seblen Yuko kwenye gari karudi nyumbani.

Ebu nisaidie Jaman , kajala kweli ni wa kufanya reality show ikawika?? Atleast akina huddah, Zari wana hadhi kidogo their life is interesting , everything they do watu wana admire , kajala kazubaa mno, hana swagg mwanae ndo usiseme ni mzuri tu wa sura kichwan zero brain , unajua reality show pia unatakiwa uwe na communication skills nzuri , unajua kujielezea, jide na wema walijitahid kidogo , ila kajala maskin tusidanganyane bwana watutolee upuuzi wao
 
Familia ya diamond wangeweza kufanya vizuri, wana drama sana

Ile familia Ina ushamba mwingi, mwisho wa siku wangeaibika, reality show inatakiwa mtu uwe umepevuka akili , Uko na exposure ya kutosha, mtu ambaye unajielewa sana

Irene uwoya na uzuri wake wote reality show imemkataa ni akili tu ndo hana, kuna vitu akivifanya angetia aibu kwenye Tv , mastaa wengi hawajui kanuni za kuishi maisha ya kistaa, kuongea, kujielezea, kula , kuvaa how to maintain their status Ndio maana wanaogopa kuumbuka

Wema angeweza kufika mbali Coz ako na exposure,sio mshamba wa mambo ya duniani, pia wema anajua kujielezea she is smart kichwan Ni vile tu alirogwa.

Wasanii wengi wabongo wazur Instagram ila kwenye Tv ukisikiliza wanavyoongea utopolo mtupu kichwan zero
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom