Kajala na mwanae waja na Reality Tv show yao

Whats so special about Zari by the way, a whole of East Africa !!!. seriously !!

kama content ya kipindi ni hustles na motherhood sidhani kama anafikia hata level ya Akothee

Kama content ni controversies ama drama zinazoweza kuuza mtaani, sidhani kama anaweza kumfikia Diamond au the whole of WCB hata kwa 30%

Biashara ya content sio kuonesha upo lounge, umevaa wigi flani au unakunywa champagne na Bonang Matheba, watu wanahitaji drama vitu flani vya kuongelea hususani kwa wabongo. Sasa ukiangalia mtu kama Omotola na influence yake lakini alishindwa au Wema kwenye peak alishindwa.. Zari ataweza kusimama mwenyewe bila baby dady !!!

Kama kweli director wa ile jua kali ndo anadirect itakuwa vizur ...lamatah anajua sana
 
Whats so special about Zari by the way, a whole of East Africa !!!. seriously 😂😂😂 !!

kama content ya kipindi ni hustles na motherhood sidhani kama anafikia hata level ya Akothee

Kama content ni controversies ama drama zinazoweza kuuza mtaani, sidhani kama anaweza kumfikia Diamond au the whole of WCB hata kwa 30%

Biashara ya content sio kuonesha upo lounge, umevaa wigi flani au unakunywa champagne na Bonang Matheba, watu wanahitaji drama vitu flani vya kuongelea hususani kwa wabongo. Sasa ukiangalia mtu kama Omotola na influence yake lakini alishindwa au Wema kwenye peak alishindwa.. Zari ataweza kusimama mwenyewe bila baby dady !!!
Mzee baba upo vizuri hadi huku.
 
Sijaona tatizo iwapo wataanzisha.
Na kigezo sanasana ninachokiona ili mtu uanzishe hii kitu ni umaarufu.Na kwa bongo wahusika wanacho tayari.
Mtoa mada hutaki hata kuwasikia ila kuna watu wanakitamani sana hicho kipindi kwa sababu mbalimbali.Labda mwingine angependa awafahamu mama na mwana kiundani,mwingine labda kupitia wao anataka afahamu maisha ya mastaa wa bongo AU mwingine anataka aangalie hicho kipindi chao kitakuja na vitu gani n.k.
Hivyo binafsi sioni tatizo lolote.
Kianzishwe hata kesho!
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Naona wameamua sasa kutengeneza show yao ili wapande bei, hii couple nitakuja kuiomba manage a trois. Ngoja tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom