Kajala na mwanae waja na Reality Tv show yao

warumi

JF-Expert Member
May 6, 2013
16,302
2,000
Mtu na mama yake ndo upumbavu wao ulipoishia hapa, mxieew reality show kwa maisha yapi waliokua nayo ? Kwa pesa Zipi? , yani kipi cha ajabu sana ambacho wanacho wakafanya mamillion ya watu waache kazi zao kuwatazama? Labda wa shoot porn .

Kwa bongo hakuna staa mwenye hadhi ya kuanzisha reality show tukasema kweli hii show kiboko, kwanza maisha yao wengi ni Fake, hawajui kujielezea, hawana exposure yeyote , vigali vyao vyenyewe ndo hivyo hvyo vi Toyota.

Hivi wanajua maana reality show hawa? Ebu wakachungulie kwanza reality shows za South Africa tu Hapo halafu waje waone kama kweli na wao wanataka kufanya reality show au bongo movie.

Kwa East Africa Zari peke yako ndo atleast ana hadhi ya kufanya reality show ikafanya poa, she is smart , she is living a a life, hajasoma But ako na exposure, anaishi kistaa, Zari kipindi chake hata ulaya wanaweza kuangalia, she is on that level yani , sasa hawa mama ntilie mtu na Mama ake mamburula shule hawana, akili hawana,, kusafir tu Dubai washajione akina kim kardashian mxieew

Kwanza kajala kazubaa sana hana swagg zozote, yani mmeona mmepata kiki kidogo tu mkaamua kupiga picha eti reality show, huyo paula ukimuona live hana huo mvuto ni mzuri tu wa sura, utopolo mtupu
IMG_2832.jpg

IMG_2829.jpg
 

Slowly

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
5,630
2,000
Watu Wana roho mbaya kinyama , wao wameona fursa Ila we umeona uwatukane , wakidanga taabu ,wakiomba shida , wakiamua kupambana kelele....duh,au ni sifa gani zinahtajika ili mtu aanzishe reality show ??? Maisha ya Kajala yanahusisha watu maarufu hapa bongo , na mwaka huu yeye na mwanawe ndo wanawake walioukimbiza mji.....wameona watumie fursa wacha wafaidike
 

Eyce

JF-Expert Member
Mar 16, 2016
3,336
2,000
Whats so special about Zari by the way, a whole of East Africa !!!. seriously 😂😂😂 !!

kama content ya kipindi ni hustles na motherhood sidhani kama anafikia hata level ya Akothee

Kama content ni controversies ama drama zinazoweza kuuza mtaani, sidhani kama anaweza kumfikia Diamond au the whole of WCB hata kwa 30%

Biashara ya content sio kuonesha upo lounge, umevaa wigi flani au unakunywa champagne na Bonang Matheba, watu wanahitaji drama vitu flani vya kuongelea hususani kwa wabongo. Sasa ukiangalia mtu kama Omotola na influence yake lakini alishindwa au Wema kwenye peak alishindwa.. Zari ataweza kusimama mwenyewe bila baby dady !!!
 

Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
58,192
2,000
Kanye West ni producer maarufu wa hip hop duniani, Majani ni producer maarufu wa hip hop East Africa.

Kajala ni celebrity mlimbwende East Africa mwenye scandals za picha chafu
Kim Kardashian ni celebrity mlimbwende duniani mwenye scandal za picha chafu

Kanye West ameachana na Kim Kardashian
Majani ameachana na Kajala.

Kim Kardashian ana reality show ya familia yake
Kajala ana reality show ya familia yake.

Unaona mambo yanavyoenda yanafuatana hapo?
 

TheChoji

JF-Expert Member
Apr 14, 2009
3,062
2,000
Kanye West ni producer maarufu wa hip hop duniani, Majani ni producer maarufu wa hip hop East Africa.

Kajala ni celebrity mlimbwende duniani mwenye scandals za picha chafu
Kim Kardashian ni celebrity mlimbwende East Africa mwenye scandal za picha chafu

Kanye West ameachana na Kim Kardashian
Majani ameachana na Kajala.

Kim Kardashian ana reality show ya familia yake
Kajala ana reality show ya familia yake.

Unaona mambo yanavyoenda yanafuatana hapo?

Kajala ni celebrity mlimbwende duniani?😀
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom