Kaitwa Mbowe, wengine mnaenda kufanya nini?

Kaitwa Mbowe, wengine mnaenda kufanya nini?

Mliopo Ufipa na kwingineko tupeni updates ikiwa ni pamoja na picha, na kinachoendelea hadi mwisho yale yanayojiri katika maandamano ya wanachadema ya kumsindikiza kamanda Mbowe makao makuu ya polisi.

Vile vile nipeni majibu ya hoja hii; KINA LISSU NA JOPO LAKE LA MAWAKILI, JE NI MAWAKILI WA CHAMA? kama ni mawakili wa chama, mbona hawana desturi ya kuwatetea wanachama katika kesi mbalimbali kama kinA LWAKATARE bali wanaonekana kwenye issue za VIONGOZI WA CHAMA TU? tujadili kwa ustaarabu!

Ndio maana huwa mnaishia kutukanwa.Hebu nitajie jopo la mawakili waliosimamia kesi ya Lwakatale.
 
wameitwa? Pale ni mahakamani? Kama ni wanasheria wa chama mbona hawawatetei wanachama kwenye kesi kama hzo bali viongozi?

rwakatare alitetewa na nani kileo alitetewa na nani
 
Ndio maana huwa mnaishia kutukanwa.Hebu nitajie jopo la mawakili waliosimamia kesi ya Lwakatale.

turudi kwenye hoja ya msingi achana na ya rwakatare maana nimepata jibu hakuwa Lisu.
 
wananchi wamegoma kuandamana waandamane wenyewe na familia zao
 
Discuss issues makamanda,jamaa anaye uliza mawakili wa Rwakatare ni mpumbavu,achaneni naye,songeni mbele,tupo kwenye mitandaa na nchi yote inafuatilia.
 
by sirluta;
haikuwa hoja yangu. Twende kwenye hoja.



sirluta haikuwa hoja yako???
-sasa hoja yako ni ipi hasa unayotaka upewe majibu???

-wewe upo huko lumumba habari za ufipa pamoja na picha za updates tukupe ili Ukalipwe Buku saba??

-Sisi hatujaajiriwa na teamLumumba aisee, kama umeshindwa kuzitafuta mwenyewe hizo updates ili ulipwe hela yako (7000) nenda kalale njaa tuu!
 
Last edited by a moderator:
Siasa za maji taka!!
 

Attachments

  • 1411027134115.jpg
    1411027134115.jpg
    8.2 KB · Views: 177
Si vema mtu kujitafutia matatizo bila sababu yeyote. Kuitwa kwa Mbowe makao makuu ya polisi ambao hamjaitwa mnaenda kufanya nini? Ama tuseme kauli ya Mbowe ilikuwa kauli ya Chadema na mawakili wake?

Waandamanaji wa chadema huwa wanabeba visu, nondo na bisibisi mifukoni na kwenye soksi, pia hubeba mapanga kwenye makoti makubwa ili kwenda kupambana na polisi. Hivyo siyo vita ni nini? Ni vema wanachadema kufuata utaratibu, hakuna haja ya kutumia nguvu kujitafutia matatizo.

Mwacheni Mbowe aende kama alivyoitwa, kama atasema alitumwa na chadema na mawakili wake, kila mmoja ataitwa kwa wakati wake.

unaushahidi na unachokisema au niushabiki tuu
 
watu bwana police ndo sehemu ya usalama....asa mnachotia hofu kitu gan??duu....kweli chadema chama dume cheki mnavyohaha p¥mbavu zenu!!
 
Mbona una kiherehere!?

Kwani umelazimishwa kushiriki maandamano!!?

We si unywe tu VIROBA vyako,sie tukakutafutie katiba ya kumsaidia mwanao asiwe OMBAOMBA!!
 
Hivi kweli kama mtu unakazi zako muda huu utakaa kwenda kushughulishwa na maandamano? Hii inaashiria mijitu isiyo na kazi ndio inashabikia maandamano
 
wananchi wamegoma kuandamana waandamane wenyewe na familia zao
wamangi wana mahesabu! sio rahisi waache shughuli zao nyamachoma na baa kuandamana bila mpango waishie kupigwa virungu. kama kina lissu wanataka kuingiza cdm msituni naona wataenda wenyewe.
 
Hivi kweli kama mtu unakazi zako muda huu utakaa kwenda kushughulishwa na maandamano? Hii inaashiria mijitu isiyo na kazi ndio inashabikia maandamano

Acha kuharisha kwa mdomo,
Maandamano ni haki ya kila raia
 

Attachments

  • 1411027772104.jpg
    1411027772104.jpg
    7.7 KB · Views: 234
Back
Top Bottom