mopaozi
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 3,300
- 524
wajinga na wasio na akili wataandamana kumsindikiza mbowe na wataishia nje hawataingia ndani hawataulizwa chochote wataambiwa tu kwa lugha nyepesi jamani hamjaitwa ondokeni kwakuwa hawakuitwa kutokana na ujinga na kutokuwa na akili watakataa na kupiga makelele matokeo yake watapata maji ya washawasha virungu mabomu ya machozi na kuwekwa selo na hii ndo faida ya kuwa wajinga
