Kaitwa Mbowe, wengine mnaenda kufanya nini?

Mwenyekiti wa CCM anapokuwa kwenye ziara mbalimbali za kikazi ndani ya nchi na nje ya nchi ndege nzima huwa wanajaa watu wengine ambao siyo marais na wanakuwa hawajaitwa,kazi inayokwenda kufanyika ni ya Rais.Je hao watu wanaoandamana na Rais kwenye kazi zinazo muhusu Rais huwa wanakwenda kufanya nini?.
juzi tu rais kawafukuza wafurukutwa wa ccm pale alipotembelea kituo cha ebola pale tmk
 
ziara ya kikwete amerika wengine wenda kufanyani?

Kikwete ni raisi wa Tz, Mbowe ni raisi wa Bilcanas according to ur comments, dnt compare them. Compare Kikwete and Kenyatta, or Kagame na siyo na Mbowe! Wee vp??
 
Hivi nawe pia umesom,au ni msomi wa chuo gani,maana walichofanya wanasheria kumsindikiza mbowe,hakihitaji post hii ulioituma,labda utueleze bila buku 7basaba za lumumba husomi,huandiki,hunusi,hupapasi hata hisia tu huna,nihatari maana hapo nizaidi ya ukipofu,ububu na magonjwa mengine yanayo athiri wanadamu, vijana badilikeni,
 
nenda peke yako usiende na mtoto, atalelewa na serikali maana umemzaa aje aishi maisha ya uyatima kwa kuwa una akili finyu! Utazikwa na hao chadema kama waliokwisha kuzikwa na watasahau, ila serikali italea hao watoto utakaowaacha.

Duh!! nimeamini ule msemo kuwa kuishabikia CCM lazima uwe na akili za maiti kwani nimejitahidi kusoma michango yote ya maCCM inaonyesha ni michango ya watu ambao maubongo yao yamekufa.
 
kama wewe ni WA KIUME KAANDAMANE!
 
Kikwete ni raisi wa Tz, Mbowe ni raisi wa Bilcanas according to ur comments, dnt compare them. Compare Kikwete and Kenyatta, or Kagame na siyo na Mbowe! Wee vp??

serikali ipige marufuku matumizi ya vinywaji vizito asubuhi kama hvi
Namfananisha sana mbowe na kikwete tofauti yao makengeza.
2005 kama ulikuwapo wote walipigwa jua kwa miezi mitatu wanaoga vumbi. Tofauti yao mmoja akawa mwizi kumshinda mwingine.
Wote ni viongozi wa kitaifa wakuu wa vyama tena mmoja anaongoza chama cha viwavijeshi.
Usimfananishe Mbowe na bongo movie labda captain comba coz hata wadada wanakula wote na bongo movie.
mbowe si Vincent kigosi labda mwigulu coz wote wasanii.
Mbowe si mbowe tu coz nyuma yake kuna watu
ushauri: punguza vinywaji vizuto asubuhi!
 
Hivi nawe pia umesom,au ni msomi wa chuo gani,maana walichofanya wanasheria kumsindikiza mbowe,hakihitaji post hii ulioituma,labda utueleze bila buku 7basaba za lumumba husomi,huandiki,hunusi,hupapasi hata hisia tu huna,nihatari maana hapo nizaidi ya ukipofu,ububu na magonjwa mengine yanayo athiri wanadamu, vijana badilikeni,

aliambiwa asindikizwe? Nawe msindikize basi! Hata hospitali ukienda na mgonjwa unabaki nje anashughulikiwa ndani na madaktari.
 
Si vema mtu kujitafutia matatizo bila sababu yeyote. Kuitwa kwa Mbowe makao makuu ya polisi ambao hamjaitwa mnaenda kufanya nini? Ama tuseme kauli ya Mbowe ilikuwa kauli ya Chadema na mawakili wake?

Waandamanaji wa chadema huwa wanabeba visu, nondo na bisibisi mifukoni na kwenye soksi, pia hubeba mapanga kwenye makoti makubwa ili kwenda kupambana na polisi. Hivyo siyo vita ni nini? Ni vema wanachadema kufuata utaratibu, hakuna haja ya kutumia nguvu kujitafutia matatizo.

Mwacheni Mbowe aende kama alivyoitwa, kama atasema alitumwa na chadema na mawakili wake, kila mmoja ataitwa kwa wakati wake.

Upuu kawaeleze babako na mamako
 
Hivi huu ni wivu au?
Kwani kumsindikiza mtu siku hizi inabidi uruhusiwe na polisi? au ndio mnajifanya watabiri tena?
 
serikali ipige marufuku matumizi ya vinywaji vizito asubuhi kama hvi
Namfananisha sana mbowe na kikwete tofauti yao makengeza.
2005 kama ulikuwapo wote walipigwa jua kwa miezi mitatu wanaoga vumbi. Tofauti yao mmoja akawa mwizi kumshinda mwingine.
Wote ni viongozi wa kitaifa wakuu wa vyama tena mmoja anaongoza chama cha viwavijeshi.
Usimfananishe Mbowe na bongo movie labda captain comba coz hata wadada wanakula wote na bongo movie.
mbowe si Vincent kigosi labda mwigulu coz wote wasanii.
Mbowe si mbowe tu coz nyuma yake kuna watu
ushauri: punguza vinywaji vizuto asubuhi!

acha U~MIREMBE! Tunazungumzia Kikwete na Mbowe wa 2014.
 
Si vema mtu kujitafutia matatizo bila sababu yeyote. Kuitwa kwa Mbowe makao makuu ya polisi ambao hamjaitwa mnaenda kufanya nini? Ama tuseme kauli ya Mbowe ilikuwa kauli ya Chadema na mawakili wake?

Waandamanaji wa chadema huwa wanabeba visu, nondo na bisibisi mifukoni na kwenye soksi, pia hubeba mapanga kwenye makoti makubwa ili kwenda kupambana na polisi. Hivyo siyo vita ni nini? Ni vema wanachadema kufuata utaratibu, hakuna haja ya kutumia nguvu kujitafutia matatizo.

Mwacheni Mbowe aende kama alivyoitwa, kama atasema alitumwa na chadema na mawakili wake, kila mmoja ataitwa kwa wakati wake.

download (1).jpg
 
Back
Top Bottom