Glisten
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 301
- 22
Mkuu, usilete utani kwenye mambo ya msingi
Wewe lete ya msingi basi kwenye huu Utani..ki*na*
Mkuu, usilete utani kwenye mambo ya msingi
acha U~MIREMBE! Tunazungumzia Kikwete na Mbowe wa 2014.
Hivi kweli kama mtu unakazi zako muda huu utakaa kwenda kushughulishwa na maandamano? Hii inaashiria mijitu isiyo na kazi ndio inashabikia maandamano
Si vema mtu kujitafutia matatizo bila sababu yeyote. Kuitwa kwa Mbowe makao makuu ya polisi ambao hamjaitwa mnaenda kufanya nini? Ama tuseme kauli ya Mbowe ilikuwa kauli ya Chadema na mawakili wake?
Waandamanaji wa chadema huwa wanabeba visu, nondo na bisibisi mifukoni na kwenye soksi, pia hubeba mapanga kwenye makoti makubwa ili kwenda kupambana na polisi. Hivyo siyo vita ni nini? Ni vema wanachadema kufuata utaratibu, hakuna haja ya kutumia nguvu kujitafutia matatizo.
Mwacheni Mbowe aende kama alivyoitwa, kama atasema alitumwa na chadema na mawakili wake, kila mmoja ataitwa kwa wakati wake.

Tatizo akii za misukule zitawashawishi kucheza vibaya kwenye mdomo wa mamba
tamko la kikao kipi? Cha lini? Kuwa wazi mkuu!
mwali ama mgonjwa ndo husindikizwa!
kama wewe ni WA KIUME KAANDAMANE!
Si vema mtu kujitafutia matatizo bila sababu yeyote. Kuitwa kwa Mbowe makao makuu ya polisi ambao hamjaitwa mnaenda kufanya nini? Ama tuseme kauli ya Mbowe ilikuwa kauli ya Chadema na mawakili wake?
Waandamanaji wa chadema huwa wanabeba visu, nondo na bisibisi mifukoni na kwenye soksi, pia hubeba mapanga kwenye makoti makubwa ili kwenda kupambana na polisi. Hivyo siyo vita ni nini? Ni vema wanachadema kufuata utaratibu, hakuna haja ya kutumia nguvu kujitafutia matatizo.
Mwacheni Mbowe aende kama alivyoitwa, kama atasema alitumwa na chadema na mawakili wake, kila mmoja ataitwa kwa wakati wake.
Na wewe unawashwa washwa kuanzisha thread inayomhusu kuitwa kwa mbowe jinsi uliguswa kuandika au kuanzisha thread ndivo hivo hivo hao wafuasi wa mbowe walivoguswa kuambatana mbowe police kwani baba yako akiitwa police na wewe ukiambatana naye ni dhambi nyambafu wewe