Kaitwa Mbowe, wengine mnaenda kufanya nini?

Kaitwa Mbowe, wengine mnaenda kufanya nini?

Tatizo akii za misukule zitawashawishi kucheza vibaya kwenye mdomo wa mamba
Kufikia post #14 katika thread hii umeshachangia mara 5 peke yako.
Mkuu huwezi kujenga post moja constructive ukaeleweka nini mchango wako katika mada iliyotolewa? Maana hivyo vipost vya sentensi mojamoja vimekaa kama mipasho ya kwenye kanga. Kuna watu tutaamini kuwa wenzetu mnahesabiwa post zenu kwa ajili ya vi allowance kama inavyosemwa kila siku.
 
umeajiriwa kuwa mwangaliz ta posts na comment jf? Endelea na tally
 
Nikawaida kwa watawala WEZI kuogopa maandamano sababu wanajua wamewaibia so wakiandamana wanawaeza kuja kuchukua chao,,,! dawa yakusitisha maandamano ni kutenda HAKI basi,,,,!
 
Niko hapa makao makuu ya cdm ufipa tayari kuwaletea livefeed ya maandamano ya kumsindikiza kamanda mbowe kwenda lokapu.
hali bado ni shwari,sijui ndo nimewahi sana,maana tuko wawili tu na korokoloni wa ofisi hizi za ufipa.staytuned.
 
nenda peke yako usiende na mtoto, atalelewa na serikali maana umemzaa aje aishi maisha ya uyatima kwa kuwa una akili finyu! Utazikwa na hao chadema kama waliokwisha kuzikwa na watasahau, ila serikali italea hao watoto utakaowaacha.
Through your comment i can come up with a lot of suggestions about your mental health.........i think u need to see a doctor
 
Si vema mtu kujitafutia matatizo bila sababu yeyote. Kuitwa kwa Mbowe makao makuu ya polisi ambao hamjaitwa mnaenda kufanya nini? Ama tuseme kauli ya Mbowe ilikuwa kauli ya Chadema na mawakili wake?

Waandamanaji wa chadema huwa wanabeba visu, nondo na bisibisi mifukoni na kwenye soksi, pia hubeba mapanga kwenye makoti makubwa ili kwenda kupambana na polisi. Hivyo siyo vita ni nini? Ni vema wanachadema kufuata utaratibu, hakuna haja ya kutumia nguvu kujitafutia matatizo.

Mwacheni Mbowe aende kama alivyoitwa, kama atasema alitumwa na chadema na mawakili wake, kila mmoja ataitwa kwa wakati wake.

Dada yaelekea upo kwenye siku zako sasa subiri ziishe ndio uje huku kwa wanaume,hapo ndio utaeleweka
 
Mbowe alitoa tamko la chama sio lake binafsi, ndio maana wanachama tumeamua kwenda naye.
Kama akili yako ni ndogo ni heri uombe watu wakusaidie kufikiri, sio kuanzisha uzi wa kiboya.
Ova
 
All the best makamanda..kila mbinu na itumiwe kuhakikisha tunapata ukombozi wa kweli. Haki hatuletewi kwenye kisahani,INAPIGANIWA hasa kwenye serikali pingamizi kama hii.
Aluta continua..Tunasonga mbele
 
Hii nchi ngumu sana kuwa na maendeleo kwa sbb tu ushabiki umejaa kwenye kila aina ya eneo,imefikia mahali watu wanashabikia kuua mi nasema hivi kuna haja ya viongozi wanaohamasisha maandamano watangulize wake zao na watoto wao ili wakifumuliwa utubo basi wapate midadi zaidi.

Hii nchi siyo ya chama wala mtu flani,ni ya yetu sisi sote hizi siasa ze u za kutafuta umaarufu mitaani zitaigharimu nchi.

Itakuja kufika wakati flani hatutakubaliana na hili na itabidi hapa Tanzania pageuke ughaibuni ambapo wakishatuchosha tutakuwa tunawatafuta mmjoa baada ya mwingine na kum-Lose mabeir!!!!

Acheni utani na maisha ya watu nyie,tumechoka na msidhani hatuoni tunaona sana ila bado tunatafuta ni namna gani tutibu hili jambo.
 
Si vema mtu kujitafutia matatizo bila sababu yeyote. Kuitwa kwa Mbowe makao makuu ya polisi ambao hamjaitwa mnaenda kufanya nini? Ama tuseme kauli ya Mbowe ilikuwa kauli ya Chadema na mawakili wake?

Waandamanaji wa chadema huwa wanabeba visu, nondo na bisibisi mifukoni na kwenye soksi, pia hubeba mapanga kwenye makoti makubwa ili kwenda kupambana na polisi. Hivyo siyo vita ni nini? Ni vema wanachadema kufuata utaratibu, hakuna haja ya kutumia nguvu kujitafutia matatizo.

Mwacheni Mbowe aende kama alivyoitwa, kama atasema alitumwa na chadema na mawakili wake, kila mmoja ataitwa kwa wakati wake.

Wewe ni mshauri wa Chadema? kwani kwenda kwao wewe inakuhusu nini au unakerwa na nini? Kwani usitumie muda unaotumia kukishauri chama chako kiepuke huu udhalimu wake kwa wananchi?
 
mindonipo njani kuelekea makao makuu ya polisi kumpa sapoti kamanda wangu
 
Back
Top Bottom