nimeandika upuuzi, nawe umesoma upuuzi, nani mpuuzi zaidi?
Pumbavu!!!!mnataka mle kodi na jasho letu bila faida?????Haitawezekana!!!!Nitaandamana hata kama niko mwenyewe
wanaokaidi amri halali ya polisi wapigwe sana.
Ndugu yangu utambuwe kuwa Kwenye kutoa maelezo polisi huwa kuna karatasi inayosema unaweza kujieleza mwenyewe au ukajieleza mbele ya wakili/mawakili wako kwahiyo mawakili kumsindikiza Hilo si kosa.
mifano ya kwenye vijiwe nya changaa hiyo!!wakiitwa wanawake nawe unaenda siyo hata kama siyo mwanamke?