Kaitwa Mbowe, wengine mnaenda kufanya nini?

Sirlita,kilaza Bon,msalan,wote Mnakichefuchefu Cha Makalio Na Mlisha Anza Kutapikia Nyuma, Njaa Zina Waponza Ndo Mnafugwa Kama Kuku Hamna Akili Za kujiongeza Hiv Ninyi Ni Watanzania Kweli ,napata Mashaka Nanyie Watanzan Wanaishi Maisha Ya Uchokoraa Ambao Unatisha Lakn Serikali Hii Inayo Itwa Sikivu Haion Wala Kusikia Vilio vya Watanzania Alafu Ninyi Mnapongeza Upuuzi Huu Wa Serikali,,,akili Za Wa Israel Kung'ang'ania Misri Waliko Kuwa Wakiteseka Kwa Kutaman Nyama Tu,,eeee mungu Wape Uono Watu Hawa.
 
Tofauti yangu mimi na wewe, mimi nasimamia fikra zangu huru wewe akili zako zimeshikwa na baba yako kisa ni mwenyekiti wa shina wa CCM.

tofauti wewe ni MKENYA mimi ni MTANZANIA
 
Nikawaida kwa watawala WEZI kuogopa maandamano sababu wanajua wamewaibia so wakiandamana wanawaeza kuja kuchukua chao,,,! dawa yakusitisha maandamano ni kutenda HAKI basi,,,,!

waandamanaji ndo wezi na wporaji
 
Through your comment i can come up with a lot of suggestions about your mental health.........i think u need to see a doctor

ukiripoti kutoka hospitali ya Mirembe, wewe ni Mcubic wa jf.
 
Mbowe alitoa tamko la chama sio lake binafsi, ndio maana wanachama tumeamua kwenda naye.
Kama akili yako ni ndogo ni heri uombe watu wakusaidie kufikiri, sio kuanzisha uzi wa kiboya.
Ova

tamko la kikao kipi? Cha lini? Kuwa wazi mkuu!
 
All the best makamanda..kila mbinu na itumiwe kuhakikisha tunapata ukombozi wa kweli. Haki hatuletewi kwenye kisahani,INAPIGANIWA hasa kwenye serikali pingamizi kama hii.
Aluta continua..Tunasonga mbele

nakuona umeanza kukaa pembeni, watangulize tu, baadae utakuwa kimada wa Mbowe
 
Sirlita,kilaza Bon,msalan,wote Mnakichefuchefu Cha Makalio Na Mlisha Anza Kutapikia Nyuma, Njaa Zina Waponza Ndo Mnafugwa Kama Kuku Hamna Akili Za kujiongeza Hiv Ninyi Ni Watanzania Kweli ,napata Mashaka Nanyie Watanzan Wanaishi Maisha Ya Uchokoraa Ambao Unatisha Lakn Serikali Hii Inayo Itwa Sikivu Haion Wala Kusikia Vilio vya Watanzania Alafu Ninyi Mnapongeza Upuuzi Huu Wa Serikali,,,akili Za Wa Israel Kung'ang'ania Misri Waliko Kuwa Wakiteseka Kwa Kutaman Nyama Tu,,eeee mungu Wape Uono Watu Hawa.

hiyo id yako inamaanisha nini kwanza?
 
mleta mada inajua sheria ata kidogo au unaongea ili post hihesabiwe kamanda anaenda na wanasheria wake Wa chama
 
Haya maandamano kama yanafeli vile.hapa ufipa bado hapajachangamka kabisa.
 
Wajingajinga ndio watakaokwenda watu na shughuli zao mjini saa ngapi ? waache Deal zao eti wamsindikize kubwa Jinga ?Watarudi nyumbani na mkate !! Upuuzi mtupu
 
mleta mada inajua sheria ata kidogo au unaongea ili post hihesabiwe kamanda anaenda na wanasheria wake Wa chama

wameitwa? Pale ni mahakamani? Kama ni wanasheria wa chama mbona hawawatetei wanachama kwenye kesi kama hzo bali viongozi?
 
By the way mwenzenu ananyumba Dubai , kikinuka huyo ndani ya Emirate ...sijui nyie wa Tandale Wazazi wenu wanataabika mnataka kuwaongezea Majanga tu ! Tumieni akili acheni kuchezewa akili na Wana-Si hasa ....oooohooo!

😛eace: si Magwanda wala Magamba muda sina ....Nitasema kweli Daima ....Mungu Ibariki Tanzania ...
 
Si vema mtu kujitafutia matatizo bila sababu yeyote. Kuitwa kwa Mbowe makao makuu ya polisi ambao hamjaitwa mnaenda kufanya nini? Ama tuseme kauli ya Mbowe ilikuwa kauli ya Chadema na mawakili wake?

Waandamanaji wa chadema huwa wanabeba visu, nondo na bisibisi mifukoni na kwenye soksi, pia hubeba mapanga kwenye makoti makubwa ili kwenda kupambana na polisi. Hivyo siyo vita ni nini? Ni vema wanachadema kufuata utaratibu, hakuna haja ya kutumia nguvu kujitafutia matatizo.

Mwacheni Mbowe aende kama alivyoitwa, kama atasema alitumwa na chadema na mawakili wake, kila mmoja ataitwa kwa wakati wake.

endelea kumpa vyombo bwana ako.
 
Mwenyekiti wa CCM anapokuwa kwenye ziara mbalimbali za kikazi ndani ya nchi na nje ya nchi ndege nzima huwa wanajaa watu wengine ambao siyo marais na wanakuwa hawajaitwa,kazi inayokwenda kufanyika ni ya Rais.Je hao watu wanaoandamana na Rais kwenye kazi zinazo muhusu Rais huwa wanakwenda kufanya nini?.
 
Mbowe angepelekwa kituo polisi cha Stakishali Ukonga angerudi amenyooka
 
Si vema mtu kujitafutia matatizo bila sababu yeyote. Kuitwa kwa Mbowe makao makuu ya polisi ambao hamjaitwa mnaenda kufanya nini? Ama tuseme kauli ya Mbowe ilikuwa kauli ya Chadema na mawakili wake?

Waandamanaji wa chadema huwa wanabeba visu, nondo na bisibisi mifukoni na kwenye soksi, pia hubeba mapanga kwenye makoti makubwa ili kwenda kupambana na polisi. Hivyo siyo vita ni nini? Ni vema wanachadema kufuata utaratibu, hakuna haja ya kutumia nguvu kujitafutia matatizo.

Mwacheni Mbowe aende kama alivyoitwa, kama atasema alitumwa na chadema na mawakili wake, kila mmoja ataitwa kwa wakati wake.
Mbowe ni mwenyekiti wa chama, nyuma ya Mbowe kuna wafuasi kwa mamillion, sasa lazima wajue mnamwitia nini? na nini kitaendelea pale - mbona unakuwa na wasiwasi kama mwizi wa bata.
 
aliyeitwa polisi aende. Ambae hajaitwa asiende.

Polisi wenyewe wa kuwaendea peke yako wako wapi? Mnapagawa kwa kuona watu wamejanjaruka, wanakwenda wote, wakitaka kuua waue watu wote, kwani hao waendaji wamepita juu ya migongo yenu au juu ya vichwa vyenu? kama kupigwa ni wao nyie magandamizo ya nini!
 
Back
Top Bottom