Maandamano yamefanyika kwa Polisi kushiriki kwa nguvu zote maeneo mbalimbali nchi nzima kwa kuandamana na kufikisha ujumbe kwa wananchi ni nini CHADEMA inahitaji juu ya hili Bunge batili la Katiba linaloendelea.
Maandamano yapokwaajili ya kudai haki,kama wewe ni mtawala ukiona wananchi wako wanaandamana ujue kuwa kunajambo ambalo umelifanya isivyo.
unamweka mwanadamu mwenzako mbele kuliko Mungu! Jambaz wewe!
Si vema mtu kujitafutia matatizo bila sababu yeyote. Kuitwa kwa Mbowe makao makuu ya polisi ambao hamjaitwa mnaenda kufanya nini? Ama tuseme kauli ya Mbowe ilikuwa kauli ya Chadema na mawakili wake?
Waandamanaji wa chadema huwa wanabeba visu, nondo na bisibisi mifukoni na kwenye soksi, pia hubeba mapanga kwenye makoti makubwa ili kwenda kupambana na polisi. Hivyo siyo vita ni nini? Ni vema wanachadema kufuata utaratibu, hakuna haja ya kutumia nguvu kujitafutia matatizo.
Mwacheni Mbowe aende kama alivyoitwa, kama atasema alitumwa na chadema na mawakili wake, kila mmoja ataitwa kwa wakati wake.
Kweli nyani haoni Ku. ndu. le Hivi angekuwa hata tu iwe ni makamu m/kiti wa ccm aliitwa polisi, huku mkijua kuwa kuna uwezekano wa kusumbuliwa na kunyanyaswa, mngeacha kwenda? Lumumba, furaha yenu kuna siku itawaishia tu.