Kaifuta namba yangu kisa sikumpa hela!!!

Kaifuta namba yangu kisa sikumpa hela!!!

yaani nikikuomba hela ujue nakupenda sana namalizia interview yangu ya mwisho nikuweke moyoni .sasa hapo wengi wenu ndo huwa mnaharibu .mtapishana na malaika mlangoni kisa elf 30.maana ya mwanaume ni nini sasa?
KWA STYLE HIYO HATA KAMA NI HIS ALMIGHTY BORA NIPISHANE NAYE TU
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mi nafikiri mademu wa humu wameisha panta kitchen patai, sidhani kama watakuja kumwomba member humu hela.
 
Yaaani ndio sitakagi mchezo nahawa viumbe, maana yamenikuta kama ya jamaa, yaani wadada siku hizi wanaanzisha mahusiano na mwanaume iliwapate pesa tu, tena sio mwanaume mmoja
 
Stay away from these animals eat and run is my principal.if you want to establish territory it is expensive
 
Nilipo tosheka na kuuziwa mbuzi kwenye guniaa ndio ndomana niliamua nirejee bongo tu aiseeeeee....[emoji25] [emoji25] [emoji25]
 
Basi kila mtu humu anaandika hatoi pesa jamanii [emoji23][emoji23][emoji23] wengine mkumbo tu,ila kiuhalisia ka moyo kanauma
 
Back
Top Bottom