Kaifuta namba yangu kisa sikumpa hela!!!

Kuna shosti yangu fulani kila mwanaume anaemtongiza facebook na insta anawakubali... Ila cha kwanza anawaomba hela... Atakaemtumia hela ya kueleweka ndo anakutana nae...
Yaani wengine wamekosa mshipa wa aibu!!! Mimi wazazi wangu tu wenyewe kuwaomba hela shida!!! Na wanalijua hilo
 
Mkuu pole sana, ila inaonekana ulimjengea mazingira flan ikiwa ni pamoja na kumpigia simu mara kwa mara na kwa hisia zake changa akajua kakushika
 
Kwa huu usawa usawa wa magufuli ununue Prado?.. Wacha masihara.
Nitanunua mkuu tu,ni lengo nililo nalo, mbona nimeweza kujenga na sasa namalizia kwa nguvu sang mwenyew, hiyo gari lazim niinunue tu ,lazima uwe jasiri na nia kwenye malengo yako
 
Kuna shosti yangu fulani kila mwanaume anaemtongiza facebook na insta anawakubali... Ila cha kwanza anawaomba hela... Atakaemtumia hela ya kueleweka ndo anakutana nae...
Yaani wengine wamekosa mshipa wa aibu!!! Mimi wazazi wangu tu wenyewe kuwaomba hela shida!!! Na wanalijua hilo
WazaZ unaogopa kuwaomba hela?! Mim kuna wakati nawakopa mpaka million tano nawarejeshea baada ya miez sita na wananipa maana wanajua no nn ninachofanyia hiyo hela,sasa kama unaomba kwa ajili ya mawigi ya Peruvian lazima uogope,wazaz Wang ni rafiki sang na pia walimu Wang,
 
Yaan awa wadada buana. Leo demu ananiomba hela bila kutumia hata ka ushawishi eti " Cod-2 naomba hela" ivyo tu yan!!, Kidume nikamwambia sina akanuna et nimekataa makusudi.
 
Kama hutaki uombwe hela na wewe usiombe papuchi, tusitishane bhana kwani wewe unawafahamu hadi unaomba
 
Ngoja nije pm unipe Siri ya mafanikio
Ukija pm uwe na uhakika mshahara wako so chini ya mil2 take home,uwe na biashara inayokuingizia so chin ya lak tank faida, uwe uumejiunga na saccoss ,pia uwe unacheza kibati cha kila mwezi na watu mengine watano ili kwa mwaka uwe unapokea Mara mbili, kibati chenyew so chini ya laki tatu,uwe ni MTU wa kusumbua akili yako Mara kwa Mara, uwe MTU wakujichangany na wafanyabiashara makubwa wawe wanakupa Chanel au kukukopesha,kama unafanya haya ninayoyafany mm karibu ,nikupe maarifa zaid
 
WazaZ unaogopa kuwaomba hela?! Mim kuna wakati nawakopa mpaka million tano nawarejeshea baada ya miez sita na wananipa maana wanajua no nn ninachofanyia hiyo hela,sasa kama unaomba kwa ajili ya mawigi ya Peruvian lazima uogope,wazaz Wang ni rafiki sang na pia walimu Wang,
Hiyo Peruvian naisikia tu kwenye mitandao shosti...
Sio kua nawaogopa, tokea tupo wadogowalituwekea mazingira hayo.
Yaani mpaka sasa hivi ishakua tabia, wanatupa allowances...
 
Ukija pm uwe na uhakika mshahara wako so chini ya mil2 take home,uwe na biashara inayokuingizia so chin ya lak tank faida, uwe uumejiunga na saccoss ,pia uwe unacheza kibati cha kila mwezi na watu mengine watano ili kwa mwaka uwe unapokea Mara mbili, kibati chenyew so chini ya laki tatu,uwe ni MTU wa kusumbua akili yako Mara kwa Mara, uwe MTU wakujichangany na wafanyabiashara makubwa wawe wanakupa Chanel au kukukopesha,kama unafanya haya ninayoyafany mm karibu ,nikupe maarifa zaid
Hahahaha et mshahara take Home million mbili.. Ivi nyie wanawake Nani kawaroga.
 
Hiyo Peruvian naisikia tu kwenye mitandao shosti...
Sio kua nawaogopa, tokea tupo wadogowalituwekea mazingira hayo.
Yaani mpaka sasa hivi ishakua tabia, wanatupa allowances...
Hapo nimekuelewa shosti, siunajua tunatofautiana familia ,ukimwona shunie MPE hi
 
Back
Top Bottom