ashy da don
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 615
- 671
[emoji23] [emoji23]. Dah mademu hawa.. Kuna mmoja alinipga mzinga akisema nimkopeshe na najua huwa halipi nmtumie 25K nikampa, nkamuambia mm najua huwezi kunirudshia, akajibu kama simuamin nikajambe,..
Nilichofanya nikapiga simu crdb sim banking waka I block ile hela.. Wakairudisha.. Yule demu mpaka leo kaniblock kuanzia whatsaap, Facebook Instagram
Nilichofanya nikapiga simu crdb sim banking waka I block ile hela.. Wakairudisha.. Yule demu mpaka leo kaniblock kuanzia whatsaap, Facebook Instagram