Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,113
- 110,869
Hahaaahaaaaa......hivi harusi yako ilishanipita? mlifunga kimya kimya jomonii
Nilipiga mziki wa kimya kimya aiseeeee....[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hahaaahaaaaa......hivi harusi yako ilishanipita? mlifunga kimya kimya jomonii
Ha haa Ngabu naomba hela ya saluni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bebi wako Kiranga umemwomba akakunyima?
Hii jomon nani alisema?hivi harusi yako ilishanipita? mlifunga kimya kimya jomonii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi napewa na kiranga [emoji34] [emoji23]Unacheka nini na wewe?
Kwani wewe yule bebi wako uliyemwandikiaga waraka humu huwa anakupa hela?
Mi napewa na kiranga [emoji34] [emoji23]
We naomba maheeela banaBebi wako Kiranga umemwomba akakunyima?
Wewe huyo ni wa Dina banaKwani Kiranga ni wako?
Si wa Valentina huyo....
Au wewe ni mchepuko na Vale ndo njia kuu?
HahahahahaWewe huyo ni wa Dina bana
Ashakupa jibu tayariKwani Kiranga ni wako?
Si wa Valentina huyo....
Au wewe ni mchepuko na Vale ndo njia kuu?
Wewe huyo ni wa Dina bana
Zamani tu mbona..Mlishaachana? Lini?
Zamani tu mbona..
Hapo utajioona mjanja!!!!watu wa mikoani bhana ushamba tu umewajaa,udomo zege ndio tatizo kwenuHahahahahaaaaa wakati unammnyima mwanamke buku anapokea muamala kutoka kwangu IMETHIBITISHWA UMEPOKEA SH 80,000 KUTOKA KWA........ lazima afute namba yako hahahaaa pole
Hata sijuiUlichepuka au yeye alichepuka?
Hata sijuiUlichepuka au yeye alichepuka?
Nyani Ngabu polee saanaHuwa wanajaribu tu lakini wanakuta mtu mwenyewe tayari niko dakika 5 mbele....