Kaifuta namba yangu kisa sikumpa hela!!!

Kaifuta namba yangu kisa sikumpa hela!!!

Kuwa mtu unayesimamia unachokiamini.. akili haitaki kutoa pesa lakini unamficha unamzungushazungusha kwanini mkuu.

Mwambie hauwezi kuwa katika mahusiano ya namna hiyo.... mchane. Sasa wewe unaonekana unamfichaficha na ni vibaya unadhulumu unachokiamini.
Noted with thanks
 
Mbona pia mijanaume inapenda kuomba omba hela kwa wadada...ptuuu yaani bure kabisa...

Mara naomba uninunulie hiki mara kile yaani ni full mariooo..
 
Back
Top Bottom