Kaifuta namba yangu kisa sikumpa hela!!!

Kaifuta namba yangu kisa sikumpa hela!!!

Kuna Mmoja Aliponuna Na Kususa Kama Ivyo Nikamuongezea Kwa Kumtumia Namba Za Vocha Iliyotumika...
[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
Duh!!!nahisi Bp ilimpanda[emoji38] [emoji38]
 
Ndo maana sipend kumwomba hela mwanaume nisiyejua anamrengo gan na mim ,ni hero nimwombe kaka ,dada na wazaz Wang naam kwa hao sitakosa kabisa ,kuliko kupewa hela ya masimango na halaf MTU mwenyew hakupend ndo man nakazan niwe na hela ,niwe na kwang na ninunue gari aina ya Prado,nimechukia mapenz na nimekata tamaa,ila kwenye kutafuta pesa ndio ajenda yang
Heri uolewe....kurukaruka hakuna mpango
 
Hahaa haa the funny part unakuta kawaomba hata watu watano kwa mpigo

mwingine unakuta anakutajia shida hiyo ukimtazama wala hafanani nayo
mtu anakwambia ana shida ya nauli ya mkoa haifiki hata elfu 30
wakati simu zake mbili tu anagusa milioni....unabaki unajiuliza maswali
Ile kitu yangu vp
 
Hakika katika vitu ambavyo sivipendi ni kuomba hela.Nikikuomba hela ujue kweli yamenifika sina.Nadhani huyu nlienae ni miongoni mwa vitu alivopenda kwangu.
Kwanza hua naskia raha kutumia hela yangu.Sipendi kuomba ila ndo shida wakati mwingine huna jinsi inabidi.
 
Kuna watu ni majasiri mtu humjui hata sura unaomba hela,.Hata kama ni njaa njaa gani hiyo jamani.Kuomba omba hela nako ni kujishusha tu thamani.
 
Chukua like kaka Nyabu .

Imefika mahali tuachane na huu utaratibu Wa kuombaomba hela ovyo.

Hasa akina dada mbadilike acheni kuomba omba hovyo.

Acheni visingizio vya mapenzi.

Halafu watu hawajagundua inayotokana na jasho lako ni tamu zaidi na ina last longer kuliko hela ya kupewa
.
 
Yaani nimekuja kujua wasichana wanastail nyingi sana za kujiuza afu wanajidai wale wa sinza ndo wauzaji
Wengi wauzaji ..waulizen bodaboda.. Wauza nyamaa ...looh awa madem shidaa mwingine anakuja club anakingilio tyu ninayokutana nayo pale liquid niishie apa
 
Hata kuonana hatujaonana. Hajui hata naitwa Nyani nani [jina langu la ukoo], lakini huwa tunachati tu hapa na pale.

Juzi ananicheki kwa WhatsApp...bebi hivi bebi vile.

Mara ananipiga mzinga. Eti anaumwa halafu anataka kwenda kumsalimia mama'ake huko Shinyanga.

Nilipomnyima akaja juu. Eti kwa nini namnyima huku wakati anashida. Akasema anaifuta namba yangu.

Nami nilivo kichaa nikaifuta yake kabla hata hajaifuta yangu.

Hata kama ndo ujasiria-vagina lakini siyo to that extent.

Utamwombaje hela mtu ambaye hata humjui kivile?

Mi hata kumwomba tu mtu anikopeshe huwa ninafikiria karibu hata mwezi mzima na mwisho wa siku naishia kupotezea tu. Siombi wala sikopi.

Lakini kwa wengine kuomba ni kama anatoa salamu! Hata mshipa wa kujistukia hana.

Ama kweli tumeumbwa tofauti.
Mkuu ww acha tu hawa watu so wakawaida hata kidogo hiyo imenitokea hata mm jana tu
 
Ndo wako hivyo,,wanafikiri kuzaliwa tu na jinsia ya kike
ni sawa na kuwa na SACCOS...

unawachangisha tu
Ndo nini kutuchongea wenzio?
Nyie mnaleta sie tunakusanya. Ukiona hamleti mfuko unapungukiwa kuwakumbusha nalo kosa?
Ila umetuchoka aisee, SACCOS?[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Back
Top Bottom