Kaifuta namba yangu kisa sikumpa hela!!!

Kaifuta namba yangu kisa sikumpa hela!!!

Ndo maana sipend kumwomba hela mwanaume nisiyejua anamrengo gan na mim ,ni hero nimwombe kaka ,dada na wazaz Wang naam kwa hao sitakosa kabisa ,kuliko kupewa hela ya masimango na halaf MTU mwenyew hakupend ndo man nakazan niwe na hela ,niwe na kwang na ninunue gari aina ya Prado,nimechukia mapenz na nimekata tamaa,ila kwenye kutafuta pesa ndio ajenda yang
 
Ndo maana sipend kumwomba hela mwanaume nisiyejua anamrengo gan na mim ,ni hero nimwombe kaka ,dada na wazaz Wang naam kwa hao sitakosa kabisa ,kuliko kupewa hela ya masimango na halaf MTU mwenyew hakupend ndo man nakazan niwe na hela ,niwe na kwang na ninunue gari aina ya Prado,nimechukia mapenz na nimekata tamaa,ila kwenye kutafuta pesa ndio ajenda yang
Kwa huu usawa usawa wa magufuli ununue Prado?.. Wacha masihara.
 
Hahahahahaaaaa wakati unammnyima mwanamke buku anapokea muamala kutoka kwangu IMETHIBITISHWA UMEPOKEA SH 80,000 KUTOKA KWA........ lazima afute namba yako hahahaaa pole
 
Then wanataka usawa siku moja, viumbe wapuuzi sana hawa. Ukiweka utu wako sokoni usawa utaupata kaburini maana wafu wote wana status moja.
 
Hata kuonana hatujaonana. Hajui hata naitwa Nyani nani [jina langu la ukoo], lakini huwa tunachati tu hapa na pale.

Juzi ananicheki kwa WhatsApp...bebi hivi bebi vile.

Mara ananipiga mzinga. Eti anaumwa halafu anataka kwenda kumsalimia mama'ake huko Shinyanga.

Nilipomnyima akaja juu. Eti kwa nini namnyima huku wakati anashida. Akasema anaifuta namba yangu.

Nami nilivo kichaa nikaifuta yake kabla hata hajaifuta yangu.

Hata kama ndo ujasiria-vagina lakini siyo to that extent.

Utamwombaje hela mtu ambaye hata humjui kivile?

Mi hata kumwomba tu mtu anikopeshe huwa ninafikiria karibu hata mwezi mzima na mwisho wa siku naishia kupotezea tu. Siombi wala sikopi.

Lakini kwa wengine kuomba ni kama anatoa salamu! Hata mshipa wa kujistukia hana.

Ama kweli tumeumbwa tofauti.
Hili tatizo limekuwa sugu Sasa hivi.Kuchat Na mtu siku hizi ni kuongeza idadi ya wapiga mizinga.
 
aisee hawa viumbe hatar kwa kwel mm wananidhoofisha mwili pamoja na akil yaaan wao wanataka tu hela hawajui ni jins gan unasumbuka kuzitafuta yaan hatar
 
Mbona pia mijanaume inapenda kuomba omba hela kwa wadada...ptuuu yaani bure kabisa...

Mara naomba uninunulie hiki mara kile yaani ni full mariooo..
Na nyinyi jifunzeni ukauzu.....mwanaume atakuombaje pesa ukamkubalia wakati wewe mwenyewe chokambaya
 
Unaanzaje kumpa hela mtu hata hamjawahi onana Na ukisema Aje achukue physically hataki huu ni utapeli tu

Pamoja na ujasiri wangu wote nilionao lakini ikija kwenye kuomba hela huwa sina kabisa nguvu za kufanya hivyo.
 
Back
Top Bottom