Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 53,246
- 50,468
Wenye tabia hii wasikie na kuacha
yaani nikikuomba hela ujue nakupenda sana namalizia interview yangu ya mwisho nikuweke moyoni .sasa hapo wengi wenu ndo huwa mnaharibu .mtapishana na malaika mlangoni kisa elf 30.maana ya mwanaume ni nini sasa?Baby J mbona wewe hujawahi kuniomba hela?
Huzipendi US dola wewe?
tunawafanyiea interview mbona tunawapa cha thamani zaidi ya pesa?Mimi katika vitu ambavyo siviwezi ni kuomba hela kwa mtu.
Sijui wengine wanawezaje tu!!!
kuombwa hela ni interview unafanyiwa na mwanamke kama wewe ni responsible man!Nishapigwa block siku nyingi...
yaani nikikuomba hela ujue nakupenda sana namalizia interview yangu ya mwisho nikuweke moyoni .sasa hapo wengi wenu ndo huwa mnaharibu .mtapishana na malaika mlangoni kisa elf 30.maana ya mwanaume ni nini sasa?
hatuachiWenye tabia hii wasikie na kuacha
utatoa lini ? kuna wanaume makauzu usipoomba hupewiMimi usiponiomba omba hela ndo ntakupenda na nikishakupenda utashangaa nilivyomkarimu na pesa zangu!
Red bottoms utazivaa hadi useme poooo.
kuombwa hela ni interview unafanyiwa na mwanamke kama wewe ni responsible man!
tunawafanyiea interview mbona tunawapa cha thamani zaidi ya pesa?
mimi ukinitongoza tu lazima ulipie .ukifaulu huo mtihani aah utakula mema ya nchi.hyo ndo interview yangu simple tu .Siwezi kuwa responsible kwa kila mwanamke
wengine hata interests ya ku hit bado haija develop why nianze kuwa responsible?
Niombe hiyo elf 30 sijui ya kusukia, nitakupa jibujiulize maswali yote ila toa elf 30
Watakuwa wanaume bukta hao!yaani nikikuomba hela ujue nakupenda sana namalizia interview yangu ya mwisho nikuweke moyoni .sasa hapo wengi wenu ndo huwa mnaharibu .mtapishana na malaika mlangoni kisa elf 30.maana ya mwanaume ni nini sasa?
utatoa lini ? kuna wanaume makauzu usipoomba hupewi
Nyie ndio wale demu akikuomba mpk akupe k roho mbaya iyoMi kila anaomba namjibu rahisi SIKUTUMII Nnjoo uchukue
mimi ukinitongoza tu lazima ulipie .ukifaulu huo mtihani aah utakula mema ya nchi.hyo ndo interview yangu simple tu .