Kaifuta namba yangu kisa sikumpa hela!!!

Hata kuonana hatujaonana. Hajui hata naitwa Nyani nani [jina langu la ukoo], lakini huwa tunachati tu hapa na pale.

Juzi ananicheki kwa WhatsApp...bebi hivi bebi vile.

Mara ananipiga mzinga. Eti anaumwa halafu anataka kwenda kumsalimia mama'ake huko Shinyanga.

Nilipomnyima akaja juu. Eti kwa nini namnyima huku wakati anashida. Akasema anaifuta namba yangu.

Nami nilivo kichaa nikaifuta yake kabla hata hajaifuta yangu.

Hata kama ndo ujasiria-vagina lakini siyo to that extent.

Utamwombaje hela mtu ambaye hata humjui kivile?

Mi hata kumwomba tu mtu anikopeshe huwa ninafikiria karibu hata mwezi mzima na mwisho wa siku naishia kupotezea tu. Siombi wala sikopi.

Lakini kwa wengine kuomba ni kama anatoa salamu! Hata mshipa wa kujistukia hana.

Ama kweli tumeumbwa tofauti.
Hmmm....eti kwa akili hizi wewe ndo Mshauri wa Magufuli, shubaaaamit!
 
Mmmh... Mimi ni muoga sana wa kuomba hata niwe na shida vipi siwezi kuomba,, hata boy niliyetoka nae alikuwa ananipa tuu akijisikia hila siyo kwa kumuomba aseee
 
USA baby na wewe ni bahili?

Anyway binafsi sijawajihi na sitegemei kuomba hela.
Ila wenzangu wanaweza.kama unayo si umpe au ni ada ya wanao?
 
Wengine tuna principles zetu tangu tukiwa tumboni mwa mama zetu. No kuhonga at all. Unahongaje mtu humfahamu, hamna mahusiano yoyote? Hivi hizo pesa hazina matumizi?
 
USA baby na wewe ni bahili?

Anyway binafsi sijawajihi na sitegemei kuomba hela.
Ila wenzangu wanaweza.kama unayo si umpe au ni ada ya wanao?
Nah siyo mbahiri hata kidogo.

Huwa sigawi tu hela kwa watu wanaopenda kutumia wenzao.
 
Hahahaah nimependa mjasiriavagina lol [emoji87] [emoji87]

Si kwa Usawa huu wa huyu mjomba.
Mambo magumu jamani msutufanyie hivooo [emoji23] [emoji23]
Asante mungu Smart911 wangu hanaga maneno

Cc Smart911
 
Na Ni Wajanja Sikuizi Utakuta Mtu Anajifanya Anakupigisha Stori Za Ela Na Miradi. Kumbe Unatengenezewa Mazingira. Kuna Mmoja Tu Kabaki Kuwa Rafiki Yangu Mpaka Sasa;Aliniambia Nna Shida Ya Hela Ila Nauza Mashati Moja 30k Ukichukua Matatu Utanisaidia Sana. Nkaona Huyu Anajielewa. Nikampa 100k...Sasa Hii Migobole Mingine Hata Haijielewi Inadhani Tu Ukiwa Mwanaume Bas Unataka Kumpenya So Ukiombwa Unatoa Tu Regardless Ya Mazingira.
 
Wanaume wote tukiwa kama wewe Bro. tutafika mbali sana,Hata heshima itarudi hutosikia tena mtu analalamika kuhusu vibamia.
 
Hahaaaaa duuuh!! Jua limekua kali sana awamu hiii.

Yaan nyani ngabu anafuta # kabla ya wewe hujafuta. Teh teh teh
 
Nyani Ngabu

kipindi nipo chuo mwaka wa mwisho 2013 kuna mdada mmoja nilimtongoza. Kwenye majibu akaniambia kama kweli nampenda nimpe sh. 5000.

Mimi nikampa elfu kumi kwa m-pesa. nilipokaa muda pasipo kuona mrejesho nikampigia simu kumuuliza kama ameiona. Alichonijibu ni ngoja aiangalie kama imeingia. Nilingoja mpaka jioni.

Jioni nikampigia, akaniambia simu yake iko chajini. Dahhh nikampotezea kama mwezi hivi baada ya kimya kirefu mara akaanza uko kimya sana.

kilichofuata namba yake nilii-donate kwa marafiki zangu wote wamtongoze. sasa alipotick kilichofuata nilitaka nibake sema basi tena.

sasaa hivi na kazi ila ata staff wangu sinaga mazoea nao maana wanapiga vizinga mpaka kweny chai
 
Teh teh teh....vizinga hadi kwenye chai?

Dhiki mbaya sana kwa kweli!
 
Hlf wadada karibia 98% wana hii tabia ya kupiga wanaume vizinga, sasa cjui wanafanya hivyo ili watukomoe/watuumize kihisia mm sielew Aleppo
 
Back
Top Bottom