Kahama VS Njombe/Mafinga

Mbinga 👇

Screenshot_20220512-184752.png

Screenshot_20220327-201122.png
 
Hivi mkuu! Lile bwawa la kuzalisha umeme la Ruhudji liko Njombe au Iringa, vipi kuhusu utekelezaji wake maana sisikii chochote kinachoendelea wala kuongolewa wakati hapo nyuma lilikuwa likizungumziwa sana.

Mimi siyo mtu wa huko ila ninapenda kujua vitu kama hivi.
Ruhudji liko Njombe Mjini tuu pale,ule mto unaovuka kuingia/ kutoka mjini ndio mto Ruhudji..

Kuhusu mradi wa Umeme wa Ruhudji maelezo ya serikali ni wanatafuta pesa,by the way nguvu kubwa imewekwa kukamilisha Bwawa la Nyerere..

Labda baada ya 2025 ndio linaweza Anza kujengwa kwa sababu ni lazima lijengwe maana by 2030 mahitaji ya Umeme yatakuwa makubwa zaidi wastani WA mgwt 10,000
 
Ahsante sana kwa ufafanuzi mzuri, kiukweli nyanda za juu kusini zinanichanganya sana baada ya kugawa maeneo mapya ya mikoa na Wilaya ramani haisomeki vizuri.
 
Watu wa Migodini njooni huku..

Mafinga kama Zurich

View attachment 2234513
Hiki kijana kimenikamata kweli kweli, mimi napenda miti,misitu, kijani haijalishi iko mikoa gani.Nasifia hapa kwa mapenzi yangu. Hongereni sana Tanzania kuibadili kuwa ya kijani yote inawezekana.

Kagera pia kuna sehemu iko hivi, Arusha nadhani na baadhi ya sehemu za Kilimanjaro,na Lushoto.
 
Kulinganisha wapambanaji wa Njombe na manamba wa Migodini ni kuleta dharau..

NBS wamekiri wewe ni nani hata upinge? 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220524-205318.png
    Screenshot_20220524-205318.png
    133.6 KB · Views: 25
Back
Top Bottom