Tanzania imejitahidi sana mipaka yake kua mizuri n kisasaMpaka wa Tanzania na Malawi-Kasumulu,Kyela-Mbeya
View attachment 2186538
View attachment 2186539
View attachment 2186540
View attachment 2186541
View attachment 2186542
View attachment 2186543
Hiyo picha ya kwanza ni kahama..
Yes ni kahamaHiyo picha ya kwanza ni kahama..
Ntaenda kote ila Lake zone siwezi ishizhuko kuna kansa kama zote na watu sio wastaarabu.Kanda ya ziwa tukae mkao wa kula kahama ardhi ipo juu na inakimbia kiuchumi lakini nachukua mfano kasulu mjini kuna viawanja vinauzwa milioni hadi 200 vile vya barabarani lakini Dar kuna eneo kibamba jijini ukiwa na milioni tano unakamata ardhi, mwanza usagara misungwi ukiwa na milioni laki tano ardhi unapata ndugu zangu bei za ardhi hasa kwenye makaratasi zisituchanganye tupambane maeneo yote kwenye fursa wewe nenda kapambane
Hakuna Mji wa Nyanda za Juu Kusini una slumsJengo moja...slum ka zote
Bado tunasafari ndefu sana
Fursa zinatafutwa kokote,sio huko tuu alikowekeza bali mikoa yote ya Nyanda za Juu Kusini hadi Rukwa na Katavi yupo.Tumalize ubishi tusidharau maeneo maendeleo ya kusini kwa sasa sio ya kubeza jamaa wanakimbia sana lakini tusiishie kubishana hapa wakati mwinuka wa NFS njombe filling station keshawekeza kahama na mwanza anavituo vya mafuta twende na mwendo huo kanda ya ziwa na kusini ukiona upenyo wewe kapige pesa tusikalie ubishi dunia inakimbia
Hao wasipoyavuna sasa yatakuja kuwa historia maana Dunia inaenda kuyapiga marufuku by 2035Lakini pia kusini hasa Songea wanamakaa yao ya mawe naona wenyeji akina mdaka five na feo na wengine wameanza kubeba makaa wanamalori mengi wanapeleka nje hasa uganda hapo bado kampuni kibao zinachukua makaa kule kumefunguka kule tuache ubishi jamani
Miji huko yote kuanzia baba yenu mbeya iringa njombe sijui makambako hadi tunduma ni slums tupuHakuna Mji wa Nyanda za Juu Kusini una slums
Slums zinafanana na za Mwanza na Kahama?Miji huko yote kuanzia baba yenu mbeya iringa njombe sijui makambako hadi tunduma ni slums tupu