The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
Pande za Nyanda za Juu Kusini,mabasi yakichanja mbugha 👇Tunaomba mtuwekee picha za drone miji yote tulinganishe.
Songea oyeee
Mbona tumeambiwa hili Bus litatoka Dar hadi J'Berg? 👇Miji ya nyanda za juu kusini Ina zidi kufunguka zaidi nyanja zote
View attachment 2259753View attachment 2259754
Mbona tumeambiwa hili Bus litatoka Dar hadi J'Berg? Ni
Sahihi linaenda south sema kitwe Zambia ndio makao makuu ya kampun laoMbona tumeambiwa hili Bus litatoka Dar hadi J'Berg? 👇
Skyline ya mji wa Bukoba inazidi kupendeza kwelikweli...Mbona tumeambiwa hili Bus litatoka Dar hadi J'Berg?![]()
Baada kutokomea umeenda kutafutiza kamsikiti 😬😬Skyline ya mji wa Bukoba inazidi kupendeza kwelikweli...View attachment 2259800View attachment 2259801
Naona bado mna matatizo ya vumbiBaada kutokomea umeenda kutafutiza kamsikiti
Shule ya sekondari huko Sumbawanga![]()