Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Hili jengo ni Kali sana
Kama Uturuki
Wapi Nyanzaga golf mine 🤪🤪😆😆😆

Songwe Rare Earth elements over 900bln investments.
-Mines development
-Refinery,
-Will generate over 11 Tzn.Shillings over its life time of about 20 years.
-CSR,GDP for Songwe and Mbeya Region.

Mwanza na Kahama mpo?

Tactic Mbeya

-Km 24.8 za lami za mtaani
-Stand kubwa 1,
-Kituo Kidogo Cha daladala 1
-Masoko 3,
-Mifereji ya maji km6.5

On top of that Kuna km 5 za lami za TanRoads,km 4 za Tarura na Kuna Barabara ya Njia 4 tena Zenye walk ways..

Kwa miradi hiyo sura ya Jiji la Mbeya inaenda kubadilika sana,
By 2025 Jiji kitakuwa zuri sana tofauti na hapo awali.View attachment 2587554
Unaona sasa kahama imetawala hapo ..Lakn njombe hata haijaongelewa maana hakuna lolote la maana huko...Kahama ni level za arusha ,mwanza,dodoma kidogo morogoro..Kuanzia leo muache kulinganisha manispaa ya KAHAMA na mji wa njombe ...Na bado kuna kiwanda cha kusafirisha madini
 
Njombe Iko awamu ya pili ya mradi na usisahau kwamba Njombe ilishatekeleza mradi wa Soko via ULGSP.
 
Kahama at huku Kanda ya ziwa tunainyooshea mikono boss sema Barabara zake nyembamba,pia Kuna mji unaitwa katoro huu ni mji TU lakin usipime at iringa haiingii

Katoro 92,192 +Nyamigota 32,372 + Ludete 106,768 +Buseresere,456 +Butengo Rumasa 22,283 = 307,071. Hizi kata huwezi zitofautisha kwani Zimeungana kimakazi.
Katoro ni Moto wa kuotea Mbali wakisema iwe Wilaya soon inakuwa Manispaa sasa ivi kuna Mgodi wa Dhahabu 19 km from town na wanampango wa kuuboresha, kwa Urbanisation Katoro inashindana na Mbeya
 
IMG-20230418-WA0005.jpg
 
My take Njombe ina eneo kubwa sana kiutawala lakin in reality Urbanised area inazidiwa na Katoro
Kwan kwa mkoa wa njombe Kuna zone ya makambako mbona hatusemi aroundi hii zone Ina watu 447000 na makazi yameungana na na miundombinu ipo vizur zaidi ya nusu ya wakaz mkoa wa njombe wapo eneo hili la makambako tc wangingombe tc na njombe dc ambazo zimekutana kimakaz njombe tc imeTenganishwa Na msitu wa tanwat
IMG-20230416-WA0004.jpg
 
Katoro ni Moto wa kuotea Mbali wakisema iwe Wilaya soon inakuwa Manispaa sasa ivi kuna Mgodi wa Dhahabu 19 km from town na wanampango wa kuuboresha, kwa Urbanisation Katoro inashindana na Mbeya
Katoro ndio Kijiji gani? Kiko wapi?
 
Katoro ni Moto wa kuotea Mbali wakisema iwe Wilaya soon inakuwa Manispaa sasa ivi kuna Mgodi wa Dhahabu 19 km from town na wanampango wa kuuboresha, kwa Urbanisation Katoro inashindana na Mbeya
Ndio Kwa Sasa Ina Zaid ya watu 3k
 
Kijiji cha Geita kinachoendana na Mbeya City
Mwambie ni hiki hapa

Population ya Katoro 92,192 +Nyamigota 32,372 + Ludete 106,768 +Buseresere,456 +Butengo Rumasa 22,283 = 307,071. Hizi kata huwezi zitofautisha kwani Zimeungana kimakazi.
 
Mwambie ni hiki hapa

Population ya Katoro 92,192 +Nyamigota 32,372 + Ludete 106,768 +Buseresere,456 +Butengo Rumasa 22,283 = 307,071. Hizi kata huwezi zitofautisha kwani Zimeungana kimakazi.
Ishu ni miundombinu mfano tarafa ya njombe mjini yenye kata tatu za njombe mjini ,ramadhani na mji mwema Ina watu 90350 lakini miundombinu yake ipo vizuri maana kata 10 zipo vijijini
 
Ishu ni miundombinu mfano tarafa ya njombe mjini yenye kata tatu za njombe mjini ,ramadhani na mji mwema Ina watu 90350 lakini miundombinu yake ipo vizuri maana kata 10 zipo vijijini
Katoro ni kata imechipukia na ni mjini ukubwa wake zinafatana na Geita yaan ikipewa kuwa wilaya at Leo inakuwa manispaa boss, na Iko vizr miundo mbinu Iko vizr hayat alijenga,,
 
Back
Top Bottom