Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Kale kamgodi ka dhahabu sengerema ni ka bei gani?

Tanzania inaenda kushindana na China kwenye soko la Madini ya rare Earth Duniani,bil.700 kumwagwa Mbeya.
Acha kufananisha nyanzaga na hizo pesa za mboga convert hyo kwenye pesa za madafu
Screenshot_20230415-220332.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Barabara ya kishiri buhongwa ni km 14
barabara ya busenga -buswelu km 3.5
barabara ya nyamhongolo -buswelu km 9.5
barabara za kuzungukw soko la buswelu km 3 ...

Jumlisha hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe hauko Tarura ,taarifa rasmi ya Serikali ni hizo ilizotaja,Mbeya ni km 24.8 sio km 25,Mwanza jumla ni km 29.7 na sio vinginevyo.
 
Kama haupo kwenye hii list hapa tupishe.

Rukwa tuna km 179 ya kutoka Ntendo Hadi Kilyamatundu/ Songwe Border na pia tuna Matai-Kasesya Border/Zambia border km 50 zote zinatandikwa lami na kazi inaendelea.
Screenshot_20230415-074528.jpg
 
Back
Top Bottom