Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Tupia matokeo ya sensa mkoa wa njombe na iringa
Haya hapa 👇

Iringa
Screenshot_20230416-045335.jpg

Njombe
Screenshot_20230415-235359.jpg
 
Yaani Kahama Ina watu zaidi ya 450k lakini inatolewa makamasi na Njombe yenye watu 180k?

Watu wa Kahama mna kazi ya kufanya huo Mji wenu ni hovyo sana.
Screenshot_20230415-234940.jpg
 
Kwa wakazi/population hii ya more than 180,000 Ni rasmi Mji wa Njombe umekidhi vigezo vya kuwa Manispaa.
Screenshot_20230415-235359.jpg

Tunasubiria kutangazwa tuu Kwa Sasa.
 
Kwenye list ya miji 25 shinyanga haipo lakini population 214744
Pia Kanda ya ziwa mji unapangwa sana na serikali ni BARIADI, yaan huu mji serikali inamwaga Hela Kwa lengo la kuupanga nazan Ina future nao
 
Kuna mtu alikuwa anapromote sana IRINGA,mwambie aamke kumekucha
Iringa asee bado ndogo ingawa kimiundombinu ipo vizur hata ongezeko la watu ni dogo Sana imagine 2012 waliongezea eneo ikawa na watu 157000 , 2022 Ina 202000 ongezeko ni kama watu45000 kwa miaka 10 itachukua Muda kuwa jiji wakifuata vigezo halali vya jiji ambapo ni watu 500000
 
Kahama at huku Kanda ya ziwa tunainyooshea mikono boss sema Barabara zake nyembamba,pia Kuna mji unaitwa katoro huu ni mji TU lakin usipime at iringa haiingii

Katoro 92,192 +Nyamigota 32,372 + Ludete 106,768 +Buseresere,456 +Butengo Rumasa 22,283 = 307,071. Hizi kata huwezi zitofautisha kwani Zimeungana kimakazi.
 
Katoro hyo ipo mkoa wa geita ni mji wa biashara na UCHIMBAJI kama wilaya ya kahama
 
N
Kahama at huku Kanda ya ziwa tunainyooshea mikono boss sema Barabara zake nyembamba,pia Kuna mji unaitwa katoro huu ni mji TU lakin usipime at iringa haiingii

Katoro 92,192 +Nyamigota 32,372 + Ludete 106,768 +Buseresere,456 +Butengo Rumasa 22,283 = 307,071. Hizi kata huwezi zitofautisha kwani Zimeungana kimakazi.
Ukipitia takwimu saiz miji mingi imekuwa ishu ni miundombinu inahitaji kuboreshwa iendane na population na hii itatokana na juhudi za halmashauri husika
 
N

Ukipitia takwimu saiz miji mingi imekuwa ishu ni miundombinu inahitaji kuboreshwa iendane na population na hii itatokana na juhudi za halmashauri husika
Wangekuwa wanaboresha kulingana na mji wanatoa Mirad inakidhi lakin now wanapanga watakavyo na wanaegemea sana dar na dodoma wanasahau at wengine kod wanalipa aisee,,
 
Back
Top Bottom