Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga


morogoro_ndio_home_1681696104436336.jpg
20230416_134904.jpg
20230416_134920.jpg
20230416_135124.jpg
20230416_135515.jpg
20230415_073157.jpg
20230412_100526.jpg
20230409_152744.jpg
20230409_152320.jpg
20230409_152332.jpg
 
N

Ukipitia takwimu saiz miji mingi imekuwa ishu ni miundombinu inahitaji kuboreshwa iendane na population na hii itatokana na juhudi za halmashauri husika
Mikoa mingine wanazaana hovyo bila kufanya kazi matokeo yake Serikali inashindwa kushawishika kupeleka Miundombinu huko..

Mradi wa Agri-Connect mwaka huu unaenda kujenga lami zaidi za Vijijini Wialaya za Nyanda za Juu Kusini.

Wanging'ombe km 19.3
Mbozi km 11
Rungwe km 6
Busokelo DC km 6.4(Busokelo Ina watu 100k tuu Wilaya nzima)
Kilolo km 1.1,hapa Kwa Kilolo ni wanaongezea tuu tayari walishajenga km 23 kabla..

On top of that Kupitia RISE , Serikali inaenda kuanza Ujenzi wa Barabara za Lami Vijijini.

Wilaya za awamu ya kwanza ni Iringa,Mufindi,Kilolo,Rungwe na Mbogwe na Handeni..

Mpaka hapo unaweza ona jinsi Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini sii ya kuletea mzaha
Screenshot_20230414-134318.jpg
 
Safi
Mikoa mingine wanazaana hovyo bila kufanya kazi matokeo yake Serikali inashindwa kushawishika kupeleka Miundombinu huko..

Mradi wa Agri-Connect mwaka huu unaenda kujenga lami zaidi za Vijijini Wialaya za Nyanda za Juu Kusini.

Wanging'ombe km 19.3
Mbozi km 11
Rungwe km 6
Busokelo DC km 6.4(Busokelo Ina watu 100k tuu Wilaya nzima)
Kilolo km 1.1,hapa Kwa Kilolo ni wanaongezea tuu tayari walishajenga km 23 kabla..

On top of that Kupitia RISE , Serikali inaenda kuanza Ujenzi wa Barabara za Lami Vijijini.

Wilaya za awamu ya kwanza ni Iringa,Mufindi,Kilolo,Rungwe na Mbogwe na Handeni..

Mpaka hapo unaweza ona jinsi Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini sii ya kuletea mzaha
 
Kupitia hili ongezeko la kata Tano makambako population itagusa kwenye 200000 na point hii ni badaa ya kuwasilisha ombi la kukumbushia tamisemi Kata za pembezoni
FB_IMG_16792150928142901.jpg
NDEJEMBI AFAFANUA MWONGOZO WA UANZISHAJI WA MAENEO MPYA YA UTAWALA.

OR TAMISEMI

Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Deogratius J. Ndejembi amesema mabadiliko ya mipaka ya Maeneo ya Utawala kwa Mujibu wa Mwongozo wa Uanzishaji wa Maeneo ya Utawala katika Mamlaka za Serikali za Mitaa wa Mwaka 2014 huanza na kusudio ambalo hupaswa kujadiliwa katika vikao vya Ngazi ya Halmashauri, Wilaya na Mkoa ambapo Kusudio hilo huwasilishwa Ofisi ya Rais TAMISEMI kupitia Katibu Tawala wa Mkoa.

Ameeleza hayo wakati alijibu Swali la Mhe. Deo Kasenyenda Sanga, Mbunge wa Jimbo la Makambako aliyetaka kujua Je, ni lini Serikali itaangalia upya mipaka ya kiutawala ikiwemo na Halmashauri ya Mji Makambako.

Ndejembi amesema Ofisi ya Rais TAMISEMI bado haijapokea kusudio la kubadili mipaka kutoka Halmashauri ya Mji wa Makambako, hivyo endapo kuna uhitaji wa kubadili mipaka, inashauriwa kuanzisha kusudio na kuliwasilisha katika vikao vya Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango, Baraza la Madiwani, Kamati ya Ushauri ya Wilaya na hatimaye katika Kamati ya Ushauri ya Mkoa.

Aidha, Ndejembi amesema Serikali imekuwa ikizingatia suala la maendeleo ya mipaka ya maeneo ya utawala ili kuongeza ufanisi katika utendaji kazi na kusogeza huduma karibu na wananchi.

Amesema Serikali imeweka kipaumbele katika kuendelezaji wa maeneo yaliyotengwa na kugawiwa hivi karibuni kwa kuimarisha miundombinu kama kukamilisha majengo ya halmashauri na wakuu wa wilaya pamoja na kujenga nyumba za watumishi.
IMG-20230416-WA0004.jpg
 
Naona njombe imezidiwa na mji wa KATORO pop 😂😂,,,hii ni dhahir kuwa hakuna fursa huko NJOMBE, IRINGA,
 
Naona njombe imezidiwa na mji wa KATORO pop 😂😂,,,hii ni dhahir kuwa hakuna fursa huko NJOMBE, IRINGA,

Njombe Town Council

Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaOfisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za MitaaHalmashauri ya Mji wa Njombe​

Toggle navigation

Historia​

1.0 Utangulizi
Halmashauri ya Mji Njombe ni moja kati ya Halmashauri tatu (3) zinazounda Wilaya ya Njombe, Halmashauri nyingine ni Mji Makambako na Halmashauri ya Wilaya ya Njombe. Halmashauri hii ilianzishwa mwaka 2007 baada ya Halmashauri ya Wilaya ya Njombe kugawanywa. Kwa upande wa Mashariki imepakana na Halmashauri ya Wilaya ya Njombe, Kaskazini imepakana na Halmashauri Wilaya ya Wanging`ombe, Magharibi imepakana na Wilaya ya Makete na Wanging`ombe, Kusini imepakana na Wilaya ya Ludewa na Mkoa wa Ruvuma. Halmashauri ya Mji Njombe ina ukubwa wa mita mraba 3,212 za eneo linalojumuisha Tarafa 2, Kata 13;Kata (3) ni za mjini na (10) ni za Vijijini, Vijiji 44 na Mitaa 28.
1.1 Idadi ya Watu
Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012, Halmashauri ya Mji Njombe ilikuwa na watu wapatao 130,223 (Me 61,112 na Ke 69,111). Kwa mwaka 2016 idadi ya watu inakadiriwa kuwa 134, 801 (Wanawake 71,541 na Wanaume 63,260). Hii ni kutokana na ongezeko la ukuaji wa idadi ya watu la asilimia 0.8 kwa mwaka.
1.2 Hali ya hewa
Kwa jumla hali ya hewa ya Halmashauri ya Mji wa Njombe ni nzuri kwa maisha na uzalishaji. Kipindi cha mvua huanza Mwezi Oktoba hadi Aprili ambapo mvua hufikia kati ya milimita 1200 hadi 1400 kwa Mwaka. Aidha, baadhi ya maeneo hupata mvua za vuli katika kipindi cha mwezi Septemba. Aidha kuna kipindi cha baridi ambapo joto hushuka hadi (40C) kipindi hiki huanza mwezi Mei hadi Agosti; na kipindi cha majira ya joto (280C) huanza mwezi Novemba hadi Machi.

Video​


Makala ya utekelezaji miradi ya maendeleo 2020 Halmashauri ya Mji Njombe​

Video zaidi

Kurasa za Karibu​

Kurasa Mashuhuri​

Watazamaji mbalimbali duniani​

world map hits counter

Idadi ya watazamaji​

free HitCounter


Ramani ya Eneo​


Wasiliana Nasi​

  • Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.
    Sanduku la Posta: S.L.P 577
    Simu ya Mezani: 026-2968833
    Simu ya Mkononi: 026-2968833
    Barua Pepe: td@njombetc.go.tz
Mawasiliano mengine




Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe
Google Translate

Original text​


Contribute a better translation

Hii inatokana na shughuli kuu ya mahala husika mfano njombe Ina kata 13 kata 10 zipo kijijini mwaka 2012 zilikuwa na watu 74000 na tatu zipo mjin ambazo ni ramadhan ,njombe mjini na mjimwema zilikuwa na wakazi 56000 na hizo ndo zinategemewa zilete changes maana za vijijini ongezeko la watu ni dogo Sana tofauti na kata za Mjini
IMG-20230416-WA0004.jpg
 
Mbna unajizima data bro

Majaliwa pre and primary school inajengwa buswelu Kwa bil 1.4
JPM bridge

SGR FLYOVER

MRADI WA MAJI BUTIMBA hujui?

Meli

Soko kuu

Airport

UJENZI Chuo Cha DIT

UJENZI chuo Cha IFM

Just mentioned a few but heavy project,,ni mwanza tu sjagusa kahama,geita ambako wanapendelea na ujenzi wa stand, bukoba as the same ujenzi wa stand nk,simiyu,shinyanga,na mara
Hivi Mwanza na Lake zone Kuna mradi gani wa maana Serikali inatekeleza?
 
Lake zone mnaitwa huku.

Kwa Mujibu wa Wawekezaji watawekeza Dola mil.439 sawa na bil.800 plus Mgodi na kiwanda Cha refinery..

Sie sio sawa na kwenu mlikoachiwa mashimo,

 

Mafinga Town Council

Jamhuri Ya Muungano wa TanzaniaOfisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za MitaaHalmashauri ya Mji wa Mafinga​

Toggle navigation

Takwimu​

  • Population = 71641
  • Population density: = 45 people per square kilometer
  • Total area: = 925.8 Squere Kilometres
  • Ward = 9 wards and11 villages

Video​


SENSA NI MAENDELEO​

Video zaidi

Viungo Vya Haraka​

Tovuti Linganifu​

Watembeleaji kidunia​

world map hits counter

Idadi ya watu wanao tembelea Tovuti​

writingMasterThesis


Location Map​


Wasiliana na sisi​

  • Mafinga Town.
    Postal Address: Po.Box 76 Mafinga
    Simu: +255 262 772 393
    Mobile: 026-2772393
    Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz
Other Contacts




Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.
Google Translate

Original text​


Contribute a better translation


IMG-20230416-WA0005.jpg
 
Back
Top Bottom